Tarehe zimepita lakini bado jamani mwe!

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,185
1,500
Da Sophy kwa taarifa tu ni kuwa, kitaalamu na kiuzoefu, Operesheni ni salama zaidi kwa mama na mtoto. Actually normal birth ni hatari kwa afya yako, pia kwa usalama wa uhai na utimamu wa akili ya mtoto. Kama watakukubalia, kubali operesheni hata kama kwa njia ya kawaida ingewezekana...
 

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,170
1,195
Nina experience kwa mke wangu ishu kama hiyo tukapoteza mtoto.
kwa upendo wa mwanao kubali kisu. utapona na kumwokoa mwanao.
da pole sana inaumiza sana kubeba mimba miez 9 hlf mtt ukose. Pole da sofi ila ck hz kupitiliza imekuwa kawaida mpenz fanya mazoez kwa sana ila ikipitiliza sana kubal kisu mwaya ucje poteza mtt
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,547
2,000
Jambo ambalo silipendi ni jinsi madaktari wa kiume wanavyowapima mimba wake zetu!! mi niligoma kabsaa yaani my wife wangu apimwe kwa kunanihii... Da Sophy na wewe walikupima hivyo hivyo kwa kuingiza mkono? hivi hakuna jinsi nyingine?
 

chichiem

New Member
Nov 5, 2010
2
0
eti Dena,

Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?
bwana huku moro madaktari wanakuangalia sura kwanza wakiona unadalili ya kuwa na pesa basi hapo ni kisuuuuuuuu!!! yaani we acha tu
 

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
0
Pole sana da sophy. Nenda pale muhimbili mtafute dr kamugisha na specialist wa hayo mambo. Attend private clinic na uarrange cku. Kama unataka contact yake sema nikutumie.
 

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,971
1,195
sikubaliani na wewe kwenye hili ile kitu huwa inarudi mahali pake baada ya kuzaa na hapa ndipo ndo utashangaa uumbaji wa mwenyezi Mungu labda kama ulipata shida kubwa ikapelekea kuchanika sehemu kubwa na hukushonwa vizuri lakini vinginevyo mashine inarudi kuwa mwake
Umesahau jambo moja hapo hommie: Wanataka vikojoloe vyao viendelee kubakia tight...........
 

Mama Big

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
488
0
eti Dena,

Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?
Da Sopy pole sana mi nakushauri wakufanyie operesheni tu maana ukisubiri hako kajamaa katoke kodi yake bado haijaisha na pia katakuharibia mlango dadii hatapata raha ya huko kwa hawa
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,633
1,225
da sopy pole sana mi nakushauri wakufanyie operesheni tu maana ukisubiri hako kajamaa katoke kodi yake bado haijaisha na pia katakuharibia mlango dadii hatapata raha ya huko kwa hawa
ha ha ha swtht nimecheka sana
 

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,476
1,225
Da Sophy halo haloooo mume wa mtu huyooo unalo bibi.........ndo ushatengenezwa na mwenye mume (Ulikuwa wamwita msoni lol) haya hiyo itakuwa mimbayo ya miezi kumi na nne na bado utajifungua salama lol.......... kama nakuona unavyohaha ...........mume wa mtu sumu bibie,

Ila jipe moyo
 

Kiti

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
270
225
Unajua kuna wataalam wanasema kuwa baba mtoto anaweza akaanzisha uchungu kwa kwa kutumbukiza rungu lake huko kumchungulia mtoto. Fanya usiku huu halafu utaona kesho uchungu unaanza.
 

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,579
1,225
.......Usikonde mwaya mtoto atakapokuwa tayari atatoka tu, vile vile nasikia uzazi wa kwanza mara nyingi inakuwa overdue.........mie mwenyewe nimepitiliza siku 5 sasa, Dr kaniambia anifanyie c-section nimekataa, induction na epidural juu yake nimegoma na hivi uzazi wa kwanza ndio kabisa naogopa kila kitu.

Muhimu fanya sana mazoezi, tembea sana na jishughulishe na vikazi vya hapo nyumbani na kama unaweza fanya sex kwa sana tu Dr kaniambia huwa inasaidia......lakini hii mie imeshinda maana tumbo hilo na najionea tabu tu.
 
Top Bottom