• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tarehe zimepita lakini bado jamani mwe!

Wameiba Kura

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
390
Points
0
Wameiba Kura

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
390 0
POLE, Da Sophy ww hujahudhuria Clinic, ili ujifungue vizuri MUMEO AWE ANAKUTIA ALMOST EVERYDAY A WEEK KABLA YA KUJIFUNGUA KUTANUA NJIA YA UZAZI, NAJUA UTASEMA NATANIA, NJIA YA UZAZI LAZIMA MUMEO AKUPANUE KWA TENDO LA NDOA ILA ASIINGIZE NDANI SANA, APIGE MITI JUU KWA NIA YA TO ENLARGE OUTLET SAY AROUND 4 INCHES IN, I AM SERIOUS HALAFU WAKATI ANAKUPA MAMBOZ ( Thrusting) PANUA MIGUU YAKO WELL APART, JIACHIE, MISSIONARY OR SIDE WAYS POSITIONS (BINUKA UPANDE MGUU MMOJA JUU MZEE MGEE AINGIE KWA NYUMA VILE) ARE BETTER, DON'T DO DOGGIE SOPHY, KWANI MIMBA KUBWA HII STYLE SI NZURI, SIKU MBILI TU Mtoto mzima, AFYA TELE, huyooooooooooo hamna operation wala nini NA WW MZIMA SALMIN, HIYO NDIO DAWA KUBWA KUEPUKA MLANGO WA UZAZI KUWA MDOGO INAYOSABABISHA OPERATION :preggers::bathbaby::violin:AU HUNA MUMEO?
 
Wameiba Kura

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
390
Points
0
Wameiba Kura

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
390 0
.......Usikonde mwaya mtoto atakapokuwa tayari atatoka tu, vile vile nasikia uzazi wa kwanza mara nyingi inakuwa overdue.........mie mwenyewe nimepitiliza siku 5 sasa, Dr kaniambia anifanyie c-section nimekataa, induction na epidural juu yake nimegoma na hivi uzazi wa kwanza ndio kabisa naogopa kila kitu.

Muhimu fanya sana mazoezi, tembea sana na jishughulishe na vikazi vya hapo nyumbani na kama unaweza fanya sex kwa sana tu Dr kaniambia huwa inasaidia......lakini hii mie imeshinda maana tumbo hilo na najionea tabu tu.
Hata ww ingetakiwa mumeo akutie kupanua njia ya uzazi, usiseme mimba ya kwanza ndio sababu, mumeo anashughuli kubwa ya kupanua njia ya uzazi ulizeni in hospitals, ohh operation hatari nyie, allow ur husband achape chape hadi mlango uwe mpana but si ainize sana maana kuna mtoto, so watch out, haya ndio mazoezi mazuri
 
NTINGINYA

NTINGINYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2010
Messages
254
Points
0
NTINGINYA

NTINGINYA

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2010
254 0
Pole sana sophi lakini usiwe na wasi huwa ngum kujua tare yakujifungua hata madaktari huwa mara wanakupa tu tarehe lakini inaweza kuwa kabla au ikazidi mungu agujalie salama
tuna kimiss janvini
 
NTINGINYA

NTINGINYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2010
Messages
254
Points
0
NTINGINYA

NTINGINYA

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2010
254 0
nyie vipi leo...mwenzeni da sophy ana matatizo....hamtoi tamko lolote....mnategemea nini
Preta unajua vibaya kusemalakini hata mimi nimecheka sana nilipoona leo Da sophi alivyo mpole kawa mdogo!!! maskini mungu amsaidie ajifungue salama, uswashangae kaizer Aspirn Hawajamaa wamechekesha kinoma na hizo ecsheni zao
 
R

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,856
Points
1,500
R

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,856 1,500
Da Sophy halo haloooo mume wa mtu huyooo unalo bibi.........ndo ushatengenezwa na mwenye mume (Ulikuwa wamwita msoni lol) haya hiyo itakuwa mimbayo ya miezi kumi na nne na bado utajifungua salama lol.......... kama nakuona unavyohaha ...........mume wa mtu sumu bibie,

Ila jipe moyo
hii kaibandika nani? najua sio mj1.
 
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Messages
2,930
Points
2,000
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2010
2,930 2,000
Jambo ambalo silipendi ni jinsi madaktari wa kiume wanavyowapima mimba wake zetu!! mi niligoma kabsaa yaani my wife wangu apimwe kwa kunanihii... Da Sophy na wewe walikupima hivyo hivyo kwa kuingiza mkono? hivi hakuna jinsi nyingine?
Kinachofanywa sio kupima mimba,ila ni kupima nyonga(pelvis) ya mama inanafasi ya kutosha kwa SVD,pia kuchunguza kufunguka kwa mlango wa mji wa mimba(cervix dilatation).Kwa Tz(sijui nchi nyingine)hakuna mama mjamzito anayeweza kuepuka upimaji huu labda awe ame-opt C/S.
 
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Messages
2,930
Points
2,000
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2010
2,930 2,000
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.

Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
Da sophy wala usiwe na hofu,muda ukifika utajifungua tu.Hiyo tarehe kwenye kadi yako ni makadirio tu ya trh ya kujifungua(EDD),co exactly ujifungue trh hyo.Mjamzito anaweza kujifungua 2weeks b4 or after EDD.Ni vema kwa kpnd hiki uwe karibu na sehemu ya huduma,pia hudhuria clinin every week.Pole sana!
 
E

ejogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2009
Messages
993
Points
195
E

ejogo

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2009
993 195
mara zote tarehe waliyokuandikia jumlisha au toa siku 14. Ndani ya siku hizo mambo lazima yaive, yasipoiva basi inabidi yaivishwe tu. So usiwe na wasi. All the best!
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,543
Points
2,000
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,543 2,000
Da sophy piga valuer changanya na bita lemoni utasikilizia hata nusus saa haifiki unaanza kunyonyesha katoto
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,846
Points
1,250
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,846 1,250
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.

Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
pole dadangu... ila kumbuka umesi wa wahenda === "MTOTO MTEMBEZI, ATAKULA MIGUU YAKE" unalo hilo hadi liwe tayari, ntaleta diapers za kutosha zako na za mtoto

Nikuletee nini kingine?
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,846
Points
1,250
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,846 1,250
Da Sophy halo haloooo mume wa mtu huyooo unalo bibi.........ndo ushatengenezwa na mwenye mume (Ulikuwa wamwita msoni lol) haya hiyo itakuwa mimbayo ya miezi kumi na nne na bado utajifungua salama lol.......... kama nakuona unavyohaha ...........mume wa mtu sumu bibie,

Ila jipe moyo
MJ1... orait, orraiitttt!!!:doh:
Easy sweetheart!!
 
Smiles

Smiles

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
1,231
Points
1,195
Smiles

Smiles

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
1,231 1,195
pole dadangu... ila kumbuka umesi wa wahenda === "MTOTO MTEMBEZI, ATAKULA MIGUU YAKE" unalo hilo hadi liwe tayari, ntaleta diapers za kutosha zako na za mtoto

Nikuletee nini kingine?
Duh....aiseee!!
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Points
1,225
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 1,225
MJ1... orait, orraiitttt!!!:doh:
Easy sweetheart!!
Certainly.........someone hijacked my password................. Invincible naomba mwongozo.:A S angry:

Am I too allowed to agiza pampers? Or chocolate will do??
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,846
Points
1,250
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,846 1,250
Certainly.........someone hijacked my password................. Invincible naomba mwongozo.:A S angry:

Am I too allowed to agiza pampers? Or chocolate will do??
i will send you nice chocolate and a very sweet bra... rait?
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Points
1,225
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 1,225
i will send you nice chocolate and a very sweet bra... rait?
We naye,,,,,,,,,,,,, do you think I need one?? mwone vile

We lete hizo chocolate nijiongezee kilo hapa. Thank you in advance:smile-big:
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
16,430
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
16,430 2,000
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.

Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
You did it without protection, oooh!natania
 
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,744
Points
1,500
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,744 1,500
pole dadangu... ila kumbuka umesi wa wahenda === "MTOTO MTEMBEZI, ATAKULA MIGUU YAKE" unalo hilo hadi liwe tayari, ntaleta diapers za kutosha zako na za mtoto

Nikuletee nini kingine?

duuuuhhh,
ha ha haaaa...kaka leo umekuja na misemo mipya mipya kwangu...
Kule juu nimeona unamuambia mtu akirudi apige hodi na vigelegele kama alivyoaga na huzuni...
hapa napo eeehhh; eti mtoto mtembezi atakula miguu yake? lahaula walauqwata ha ha ha h!!!!

Da Sophy pole shemeji!

 

Forum statistics

Threads 1,406,693
Members 532,424
Posts 34,523,712
Top