Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Khantwe POLE SANA, MAISHA HAYA, UNAWEZA KUHANGAIKA WEE KUTAFUTA KAZI UKAPATA NA MAMBO YAKANYOOKA HALAFU LINAKUJA TATIZO LA KUSHKA MIMBA.

ILA JIAMINI, UKIPATA MWENZA ANAYEELEWEKA AMBAYE UNAWEZA SEX NAYE KILA MARA KWA MWEZ MZMA, UNANASA MIMBA, LABDA UWE MGUMBA.
 
Jamani naomba kuuluza swali mwenzenu nina miezi 2 sijapata period na baada ya wiki 5 nilianza kuhisi dalili za mimba km kichefuchefu kupata haja ndogo mara kwa mara kuchagua vyakula uchovu baada ya wiki ya 7 dalili zikafutika nikaenda pharmacy nikanunua kipimo cha mimba nikakuta positive lkn baada ya wiki ya 8 nimeanza kupata damu lkn ni matone halafu cn maumivu nikaenda hospital wakanambia nikachek utrasound nilivyocheck dokta akasema mimba imeharibika incomplete arbotion hivyo tukusafishe lkn nafsi inakataa kwa sababu nilishawahi kuharibu mimba na dalili sio hizi lazima ningepata maumivu makali na leo ni siku ya 5 lazima damu ingetoka nyingi au mabonge kabisa km nimeharibu bado nafsi inakataa maana yule dokta alionyesha tamaa ya pesa anisafishe apate pesa aliningangania sana anisafishe naombeni ushauri jamani
 
Dalili ya kukojoa mara kwa mara inaanza wiki 12 wakati mtoto anaposukuma kibofu akipanda juu na siku za mwisho wakati ana shuka tayari kwa kuzaliwa. Moja ya dalili za abortion ni period yenye harufu kidogo. Si mbaya kusafisha thought.
 
Ndio sio vibaya kusafisha lkn km labda ni mimba inatishia kutoka kwa sababu kutoka damu matone inatosha kuwa dalili ya kutoka mimba bila maumivu ht kidogo
 
Kwa mfano nimefnya mapenzi siku ya 14 nikarudia tena siku ya 16 mimba ikatunga je hiyo mimba itakua imetunga siku ya 14 au ya 16
 
Kwa mfano nimefnya mapenzi siku ya 14 nikarudia tena siku ya 16 mimba ikatunga je hiyo mimba itakua imetunga siku ya 14 au ya 16
Amisa mimba itatunga tu ila kujua mpaka utakapokosa siku zako maana baada ya siku ya 28
na je ni wanaume tofauti au ni huyo huyo mmoja (hapo ni DNA)
kama ni mwanamume mmoja ukitunga mimba siku za mwanzo kabla ya hiyo 14 utapata mtoto wa kiume
na baada ya 15 yaani kaja siku ya 16 utapata mtoto wa kike
yaani mbegu ya mwanamume yenye XY
inamaanisha Y itawahi kwenda kukutana na XX za mwanamke na kutunga kaDume na iwapo XY zitachelewa hadi siku ya 17 Y zitachoka na uwezekano X itawaikuta XX na kiBinti katakuja
ngoja wataalm waje au nitakurushia Link
identifies days 8 - 19 as the potentially fertile days for women with cycles between 26 and 32 days long. This fertile window takes into account the variation in the timing of ovulation from one cycle to the next, the lifespan of the sperm and ovum, as well as cycle lengths for the majority of women*.

When Can You Get Pregnant, What Days of Cycle Can I Get Pregnant? | CycleBeads
 
Asnte sana bora umenijibu kitaalamu asnte na Mungu akubariki
 
Amisa achana naye huyo
hii Mada tayari imeunganishwa na ya mwaka 2008 wakati JF inatoka Jambo Forum
ikaunganishwa na za 2017
wewe fuatilia za nyuma zitakazo kupa majibu yako zipo nyingi
 
Sahihi kabsaaa..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabsaa

Umeongeza kitu kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MKUU nakushukuru sana Nimekuelewa sana, ila nadhani yule alie anzisha jambo hili alitaka kujua ni si siku ipi anaweza kupata mtoto wa kiume, na wewe kwenye somo lako hili tamu hujatoa jibu kuwa ni siku ipi sasa mtu asimamie kucha kupata mtoto wa kiume
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…