Tarehe kama ya leo miaka kadhaa nyuma

Tarehe kama ya leo miaka kadhaa nyuma

hahahaaa...watoto wa wenye nyumba na wenye nyumba wenyewe wana vituko..

Ila na wapangaji pia....!!!

Juzi mpangaji wangu kanitokea aiseehh...nafkiria kumpa notisi mkataba ukiisha...!!
huyo unamuonea tu
 
hahahaaa...watoto wa wenye nyumba na wenye nyumba wenyewe wana vituko..

Ila na wapangaji pia....!!!

Juzi mpangaji wangu kanitokea aiseehh...nafkiria kumpa notisi mkataba ukiisha...!!
Acha uchoyo bwana
 
Mimi iliwahi kunitokea nikiwa ofisi moja na binti flani ambaye aliongea wazi wazi kuwa ananipenda na kunitaka, kwa kweli nilimpotezea japo kwa heshima kubwa maana nawajua wanawake akiamua kukulipiza kisasi ni hatari, na hadi sasa tukikutana ni heshima tu kama kaka na dada.
 
Wewe nae ulikuwa mzmbe sana,sasa si umgekyla tu tunda hilo kwani yote haya yasingetokea.
 
Back
Top Bottom