Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Mhuni,mlevi,mfupi...!!kwahyo tatzo sio kuwa mpangaji su kuwa mfupi tatzo ni kwamba ni muhuni?
Na mm namheshimu pia ashachelewa!
Mhuni,mlevi,mfupi...!!kwahyo tatzo sio kuwa mpangaji su kuwa mfupi tatzo ni kwamba ni muhuni?
ha ha ha ha amechelewa wapi tena mama?Mhuni,mlevi,mfupi...!!
Na mm namheshimu pia ashachelewa!
gari imejaa...ha ha ha ha amechelewa wapi tena mama?
KUSEMA KWELI HAPA MIMI LAZIMA NINGE GONGA TU....JARIBU HILI LINGENINASA.....Ishu ilikuwa ni mapenzi ya bintiye kwangu, alikuwa akinipenda kweli lakini mimi sikuwa na mpango naye kwanza, alikuwa nwanafunzi pili, sikutaka uhasama na mamaye ukizingatia ndo kwanza naanza kujitegemea. Nikawa namkwepa binti, hilo halikumsumbua tatizo lilianza nilipoanza kuingiza wanawake mle ndani, akawa anaona wivu.
Alipochoka na hayo akanifuata akaniuliza, hivi unapenda mwanamke wa aina gani? Nikamwambia anayejiheshimu tu, akaniambia, kujua kama anajiheshimu ni mpaka ukae naye japo hata kwa masaa mawili, namaanisha umekutana na mwanamke ghafla unapenda nini, nikampa sifa za kawaida walizonazo wanawake wengi maana sikujua lengo lake ni nini kwa wakati ule. Akaniuliza, kwa hiyo mimi sina sifa hizo? Nikamwambia unazo zote na zaidi, kwani vipi, akanambia naona kila siku unaingiza wanawake zako tu ina maama hujui kama nakupenda au dharau? Sasa kama ni dharau mimi nitakufanyia makusudi na hutonisahau, UTAHAMA HUMU.
peterchoka
Hapo ndo alipokosea anakufeel halafu anaingza mizigo mpya, amekukosa loh![emoji1][emoji3] [emoji3] hapana Malaya vibaya mnoo kutwa anaingiza brand new..
then si heshima ht kidogo yaani!!
Japo sipendi hiyo tabia ya kubadili wadada...!mwisho Jana kaingiza jimama hiloo!!!
sasa unataka kumpa notsi kisa kakutongoza? kwan cha ajabu kipi? si ombi tu ni hiari kukubali au kukataa tatizo nini? angetaka kukubaka sawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo ndo alipokosea anakufeel halafu anaingza mizigo mpya, amekukosa loh![emoji1]
Naomba akitoka huyo nihamie hapo nitalipa kodi ya miaka miwili!hahahaaa...watoto wa wenye nyumba na wenye nyumba wenyewe wana vituko..
Ila na wapangaji pia....!!!
Juzi mpangaji wangu kanitokea aiseehh...nafkiria kumpa notisi mkataba ukiisha...!!
Kaka yako nishabook hio nyumba miaka miwili nalipa!Huyo mpe notice tu. Halafu akishahama, nitahamia mimi tuone inakuwaje.
Huyo mpangaji kaona mbali... ndio mbinu ya kusamehewa kodi na kuwa baba mwenye nyumba aanze kuzikusanya yeyehahahaaa...watoto wa wenye nyumba na wenye nyumba wenyewe wana vituko..
Ila na wapangaji pia....!!!
Juzi mpangaji wangu kanitokea aiseehh...nafkiria kumpa notisi mkataba ukiisha...!!
Ah kumbe tatizo kafupi.....Sasa anaanzaje yaani halafu hana aibu anantoa kwangu saa tano usiku...!!
kuniambia ujinga...!!
Kajitu kenyewe kafupiiiii!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo kachemsha anakula notisi!!!Huyo mpangaji kaona mbali... ndio mbinu ya kusamehewa kodi na kuwa baba mwenye nyumba aanze kuzikusanya yeye
Mjini pagumu
Kaka yako nishabook hio nyumba miaka miwili nalipa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikataki tuu...!!!Ah kumbe tatizo kafupi.....
Wenye nyumba wenzao.kwahyo wenye nyumba mnatakiwa kutongozwa na nan?
Nahamia hapo mimi sio mfupi![emoji23] [emoji23] [emoji23] sikataki tuu...!!!
Sawa haina shida mm nahama hapa!Kaka yako nishabook hio nyumba miaka miwili nalipa!
Naomba akitoka huyo nihamie hapo nitalipa kodi ya miaka miwili!
Wenye nyumba wenzao.
awe bas hata konda au mwendo kasi hlo halina kondaktagari imejaa...
tena mwendokasi wenyewe sio wa nchi hiii....awe bas hata konda au mwendo kasi hlo halina kondakta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha unaaa...!!Nahamia hapo mimi sio mfupi!
Wenye nyumba wenzao.