Tarehe kama ya leo miaka kadhaa nyuma

Nampa notisi kwa sababu anabadili sana wadada mpk kero then pale home watu wanapaheshimu sana

Mpk juzi nimeitwa kupewa mashtaka kumbe huku nyuma wadada washataka kupigana kisa yy..wakatumiliwa n mdogo wangu!

Nakaaje nae sasa...?!!
teh teh teh kosa umelifanya wewe ungemkubalia asingekuwa na tabia hizo.
 
hahahaaa...watoto wa wenye nyumba na wenye nyumba wenyewe wana vituko..

Ila na wapangaji pia....!!!

Juzi mpangaji wangu kanitokea aiseehh...nafkiria kumpa notisi mkataba ukiisha...!!
notisi ya nn boss kwan na yeye hana moyo au ukiwa mpangaji haruhusiw kukutongoza
 
Back
Top Bottom