Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,646
- 4,489
- Thread starter
-
- #81
Sawa mkuu aya mambo yanaumiza sanaMkuuu pole sanaaaa mkuuuu wanguu hii ndio nchii yangu na yakoo
Lkn neno la Mungu linasema Auwae kwa upanga atakufa kwa upangaaa
Na Mungu hachelewi kutoa majibu
Malipo ni hapa hapa duniania
Tatizo siyo kumkamata ukimkamata anaachiwa kesi inarushwa rushwa inakuwa ni usumbufu akuna la maanaKama unamuona kwa nini usimshtaki kwenye vyombo vya sheria?
Usiache muuaji wa dada yako aendelee kutumbua maisha huku wewe ukizidi kupata maumivu kila kukicha.
Ameajiriwa serikalini?Tatizo siyo kumkamata ukimkamata anaachiwa kesi inarushwa rushwa inakuwa ni usumbufu akuna la maana
Hapana ni fundi samani za nyumbani afanyia kazi pale kcmcAmeajiriwa serikalini?
Mbona ni mtu mdogo sana huyo na wa kawaida.Hapana ni fundi samani za nyumbani afanyia kazi pale kcmc
Pole kwa ban,hii bado ya motomoto hata dakika 10 hazijapitaaliyesababisha mauaji alikutwa na hatia ya kuua na bado akachiwa huru? hebu niweke wazi hapo. yote kwa yote pole sana
Ni kweli ila sijui kwanini paka inakuwa hivyoMbona ni mtu mdogo sana huyo na wa kawaida.
Bado siamini kama ana hela za kuweza kuzima kesi kubwa kama hiyo.Ni kweli ila sijui kwanini paka inakuwa hivyo
Asante nitajitaidi kufanyia kazi ushauri wakoBado siamini kama ana hela za kuweza kuzima kesi kubwa kama hiyo.
Tafuta mwanasheria mzuri utafanikisha lengo.
Kila la kheri [emoji106]Asante nitajitaidi kufanyia kazi ushauri wako
Po;e sanaaaa, kuondokewa kubaya na hasa kwa kifo cha aina hiyo,ila Muombe sana mwenyezi mungu na amini aliefanya hicho atalipa dhamani kubwa sana,huenda ukamuona ana tembea kwa furaha ila ndani ya nafsi yake hana furaha na mwenyezi mungu atalipa kama alivyo mdhulumu mwenzie nafsi yake na yeye atamlipa kwa njia yoyoyte ile, kilio chako mpe mwenyezi mungu ndio hakimu wa haki.Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa [emoji24]
Bibie upo?Pole sana mkuu
Asante sanaPo;e sanaaaa, kuondokewa kubaya na hasa kwa kifo cha aina hiyo,ila Muombe sana mwenyezi mungu na amini aliefanya hicho atalipa dhamani kubwa sana,huenda ukamuona ana tembea kwa furaha ila ndani ya nafsi yake hana furaha na mwenyezi mungu atalipa kama alivyo mdhulumu mwenzie nafsi yake na yeye atamlipa kwa njia yoyoyte ile, kilio chako mpe mwenyezi mungu ndio hakimu wa haki.
hapa mkuu alipigwa mazimaHa ha ha ha nicheke kumbe nawewe ni muumini wa hizo chai
Mkuu pole sana. Hii post ndo mara ya kwanza kuiona. Tupe feedback, vip issue iliendaje?
Serious mkuu jina lake ndiyo ilo casto mwacha ndiyo jina
Kill him too. Mi sikubali aiserTarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa [emoji24]