Tarehe ambayo sitoisahau

Tarehe ambayo sitoisahau

Mkuuu pole sanaaaa mkuuuu wanguu hii ndio nchii yangu na yakoo
Lkn neno la Mungu linasema Auwae kwa upanga atakufa kwa upangaaa
Na Mungu hachelewi kutoa majibu
Malipo ni hapa hapa duniania
Sawa mkuu aya mambo yanaumiza sana
 
Kama unamuona kwa nini usimshtaki kwenye vyombo vya sheria?
Usiache muuaji wa dada yako aendelee kutumbua maisha huku wewe ukizidi kupata maumivu kila kukicha.
Tatizo siyo kumkamata ukimkamata anaachiwa kesi inarushwa rushwa inakuwa ni usumbufu akuna la maana
 
aliyesababisha mauaji alikutwa na hatia ya kuua na bado akachiwa huru? hebu niweke wazi hapo. yote kwa yote pole sana
Pole kwa ban,hii bado ya motomoto hata dakika 10 hazijapita
 
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa
Po;e sanaaaa, kuondokewa kubaya na hasa kwa kifo cha aina hiyo,ila Muombe sana mwenyezi mungu na amini aliefanya hicho atalipa dhamani kubwa sana,huenda ukamuona ana tembea kwa furaha ila ndani ya nafsi yake hana furaha na mwenyezi mungu atalipa kama alivyo mdhulumu mwenzie nafsi yake na yeye atamlipa kwa njia yoyoyte ile, kilio chako mpe mwenyezi mungu ndio hakimu wa haki.
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom