Wala haina haja ya kuomba wa kubishana nawe wala hayupo.dah, mkuu kwani nimekataa sio ukatili?
ila kwa watu wapelelezi wa kesi za mauaji ndio watafahamu nililoeleza, aina ya mauaji yanatumika ku determine sababu ya mauaji...kama huna insight yoyote kwenye masuala ya saikolojia na mauaji naomba tusibishane
Pole sana lkn sio kila mtuhumiwa wa kudeal nae mahakaman wengne unadeal nao personally
Kwa walio kuwa wanaishi majengo lazima usikie na pia magazeti yaliandika mwananchi na redio zilitangazahii habari nilisha isikia huku moshi
Pole sana bro,ila mm roho yangu nyepesi saa hz tungekuwa tunaogea vngne.Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa
Ebu eleza uzuri tukusaidie sio nusunusu we vipi?Kwa walio kuwa wanaishi majengo lazima usikie na pia magazeti yaliandika mwananchi na redio zilitangaza
Mkuu unataka nielezee aje?Ebu eleza uzuri tukusaidie sio nusunusu we vipi?
Ananijua vizuri tu kwasababu alikuwa anakuja kwetu na dada yanguPole....! Wewe anakujua???