Tarehe alizoteswa Ulimboka, Mambo ya Kova na Mistari ya Biblia inavyosema (26:6:12) (27/6/'12)

haponi mtu hapo neno limejidhihirisha...........serikali ijiandae kuumbuka. Kenya itawaita watuhumiwa iongee nao kwa kilugha chao waeleze ukweli woote kisha kenya watoe tamko.....kuwa wahusika wakuu ni serikali ya JK

Ikiwa hivyo serikali ya magamba itaumbuka kilaini na mapema sana!
 
ndio maana MUNGU hakumwacha masaa yote alipigwa na wale wauwaji tena sio mkenya ni watanzania wenzake km angekuwa mkenya Dr angejua matamshi yao maana kiswahili chao kinajulikana bana

Kweli kabisa mkuu maana waliongea nae
 
Bad christian ni wakristo wanaoweza kusoma biblia lakini hawaelewi..e.g. biblia inakataza pombe lakini wao ndio kwanza wanakunywa

Inaongoza kwakuwa wengi wao ni vilaza, kigezo ni namna wanavyo wrgue when it comes to religion issue..yaani ni bogus kabisa

Wanatumia biblia vibaya; kubeba bila ku-practice

inakataza kulewa siyo kunywa
 
Kuna jukwaa fulani huwa nakuona unawapa watu darasa kuhusu mtindo wa k.a.t.e.r.e.roOOOOO, leo nimeshangazwa na hii post yake. Lakini poa mkuu nimekukubali kwamba wewe upo fiti kwenye nyanja zote

Ukisoma Kitabu cha Ayubu sura 26 : 6 mstari huu unasema hivi......

"Mauti iko wazi mbele za Mungu,
uharibifu haukufunikwa"

Then ukisoma Kitabu hichohicho cha Ayubu 27 : 12 mstari unasema hivi....

"Ninyi nyote mmeona hili wenyewe.
Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana?"

Mstari wa 26 :6 ulitumiwa na mtesaji wa Dr. Ulimboka kwa kuhalalisha kitendo chake cha kuumiza wengine kwa kuwa mauti iko wazi mbele za Mungu.

Mstari wa 27 : 12 ndo kelele tunazopigiana ya kumtafuta muuaji au mtesaji wakati Mungu ameshatuwekea wazi.....serikali inaona utata.

Tukiingia Zaburi 26 : 6 inasema " Nitanawa mikono yangu kwa kutokuwa na hatia, na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA"

Mstari hapo juu umetumiwa leo na Gwajima kuuthibitishia umma kuwa serikali wazushi wasilitumie kanisa lake kuhalalisha au kukwepesha maovu yake.

Ukisoma zaburi 27 : 6 inasema " Na sasa kichwa changu kitainuka juu ya adui zangu wanaonizunguka. Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake;Nitaimba, naam, nitamhimidi BWANA"

Maneno haya kwa sasa anayataumia Dr Ulimboka maana adui zake wote wako wanaparanganyika kwa kujichanganya na anamalizia kwa mstari wa 12 zaburi ya 27 inasema " Usinitie katika nia ya watesi wangu; maana mashahidi wa uongo wameniondokea, Nao watoao jeuri kama pumzi"

Maneno haya bado yanasemwa na Ulimboka na wahanga wengine waliopona katika udhalimu wa serikali ya Jakaya Kikwete. Hakika baba rizone wa maajabu yeye yuko nje ya nchi anakula baga na kubembea wasaidizi wake hapa wanaharibu na kuiaibisha nchi.

Mungu alivyokuwa mkuu serikali ya Kenya imesema haiwezi kukubali udhalilishwaji katika mataifa mengine kwa wananchi wake kuja kufanya uhalifu nchi jirani wako wanafuatilia na watatoa tamko muda si mrefu.

Ukisoma mithali 26 : 6 inasema " Apelekaye ujumbe kwa mkono wa upumbavu, hujikata miguu na kunywa hasara" hii ni ile ya bwana yule aliyempigia simu Ulimboka na kuwaita wale wauaji akidhani kuwa hawataonana tena kumbe mtu hajafa.

Mithali hiyohiyo ya 26 : 12 inasuliza hivi " Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadahli kumtumaini mpumbavu kuliko yeye"

Yaani kwa watu wenye kufuatilia ukifuatilia mistari hiyo ya 26 na 27 ambazo ni tarehe za mateso ya Ulimboka na Mistari na mistari ya 6 na 12 ambayo ni mwezi na mwaka utaona maajabu ya kinachoendelea. Mfano tukiangalia mithali 27 : 6 unasema " Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; bali kubusu kwa adui ni kwingi sana" pia mstari wa 12 unasema " Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha bali wajinga huendelea mbele wakaumia"

Yaani maneno yote yanaonesha nani mjinga na ni kwanini wasinyamaze. Kubusu kwingi kwa adui ni hizo jitihada za akina Kova kujifanya wanafuatilia suala la Ulimboka wakati wahusika ni wao wenyewe. Serikali wajinga wanasonga mbele na wataumia.

Huu ndio mtazamo wangu wa tarehe husika na matukio yaliyotokea.
 
Hata Shetani akija hasemi kwamba ana 'shaka' tena huja kama Malaika wa Nuru kumbe ni Ibilisi na muuaji. Mwenye ufahamu na afahamu.

"Hakika hii bila shaka ni Qur'an Tukufu, Katika Kitabu kilicho hifadhiwa (kimelindwa na uharibifu wowote). Hapana akigusaye ila walio takaswa. Ni uteremsho unaotoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. Qur'an: Al Waaqia'ah: 77:80.
Hapo sasa !
 
Kuna jukwaa fulani huwa nakuona unawapa watu darasa kuhusu mtindo wa k.a.t.e.r.e.roOOOOO, leo nimeshangazwa na hii post yake. Lakini poa mkuu nimekukubali kwamba wewe upo fiti kwenye nyanja zote

Mwana hata mtume Paulo alikuwa Sauli!!! watu tunachange lakini ile ni jinsi ya kudumisha ndoa...hivyo bado inapendeza mbele zake!!
 
Nilisikia kwa baadhi ya wanyakyusa kuwa jina ulimboka lina maana ya mtu ambaye hawezi kuachwa na Mungu. Wenye ufahamu zaidi naomba watujuze, hasa wanyakyusa!
Ulimboka=Niokoe; ikimaanisha sauti ya mtu iombayo kuokolewa (ee Mungu naomba uniokoe)
 
"Hakika hii bila shaka ni Qur'an Tukufu, Katika Kitabu kilicho hifadhiwa (kimelindwa na uharibifu wowote). Hapana akigusaye ila walio takaswa. Ni uteremsho unaotoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. Qur'an: Al Waaqia'ah: 77:80.
Hapo sasa !

Imeandikwa:"Waache wafu wazike wafu wao!" Tunawaacha kama BWANA alivyotuamuru.
 
Haleluya! wamekalia kuti Kavu. Mungu ameingia kazini. Amesikia Kilio cha wale wote waliokufa kwa uzembe. Kelele zimezidi kuzimu. Liwalo halitakuwa, Ila wema wa Mungu utakuwa na kutufunika. Kama Mungu aliwashusha wafalme wooooooote waliotegemea akili zao wenyewe. Haponi Mtu hapa. Maneno katika muda na nyakati yandhihirisha hilo. Wakora waitu Ta Muganyizi. Katonda akubere. Neno linatisha
 
Haleluya....................lazima mambo yote yawe wazi amen.
 
Kwa sasa serikali inawaza ipitishie wapi...........baada ya gwajima kukanusha. Conclusion....Dr Ulimboka.
 
"Hakika hii bila shaka ni Qur'an Tukufu, Katika Kitabu kilicho hifadhiwa (kimelindwa na uharibifu wowote). Hapana akigusaye ila walio takaswa. Ni uteremsho unaotoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. Qur'an: Al Waaqia'ah: 77:80.
Hapo sasa !

..

Hivi unajua mara ya kwanza kabisa Mtume alipotoka pangoni lipofika kwa mkewe alimwambia anajisikia nini??

Na anahisi kuzugwa na nini??

Na walienda wapi... ili kujua ni nani alitokea pangoni?

Ni nani mtu wa kwanza kuamini Quran tukufu?

Malaika akija kwako hajitambulishi? hadi uende kuuliza kwa mtu ndio akwamie yule ni malaika?

Maswali mengi mno jiba haya kwanza.
 
Hebu nielimishe hili la ' Mungu kukamatwa na kupigwa !' yaani inakuwaje kuwaje !? Halafu ni nini adhabu ya wale waliompiga Mungu ? Maaana inadaiwa Mungu asingepigwa na wewe ungekuwa bado una dhambi ! Yaani utata mtupu !
 
Utata kwakuwa umerithi mafundisho toka kwa mtu wa kawaida tu tena aliekuwa Ummyalijiita M.t.u.m.e! ... ... Jibu maswali yangu dogo... Huyu ndiye mnamlilia kuwa alikuwa wa dini yenu....sasa vije?...lkn sisi hatumkubali huyo wa kwenu kwani tuna mwona mpinga Kristo! Kujua kuwa umejiwa na malaika hadi uende ukaague?? Au Hadi akwambie mkeo??? .
 
Hoja ni subjective..did you knew?

Duh hii grammar "did you knew?", nilidhani ingekuwa "did you know?" Ingependeza.
Usikasirike JF ni zaidi ya shule. Nimejifunza mengi.

Ta Muganyizi. Hii talanta ulopewa uitumie kutufungua sisi tulozingiriwa na maovu ya dunia hii.
Asante kwa neno zuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom