Tarehe 31 october watanzania kupata uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe 31 october watanzania kupata uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Sep 28, 2010.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tulinyanyaswa kiasi cha kutosha,tulitawaliwa kiasi cha kutosha,tulionewa kiasi cha kutosha,tulinyonywa kiasi cha kutosha na tulidhalilishwa kiasi cha kutosha na wakoloni.Tumenyonywa kiasi cha kutosha,tumepuuzwa kiasi cha kutosha,tumeibiwa kiasi cha kutosha,tumedhalilishwa kiasi cha kutosha na tumetawaliwa kiasi cha kutosha na CCM PAMOJA MAFISADI.UKOMBOZI UMO MIKUNONI MWETU TAREHE 31 OCTOBER TUSIKUBALI KUDANGANYIKA.Baada ya kupata uhuru namshauri Rais Dr.Slaa kuitangaza siku 31 october kua sikukuu ya kitaifa na kuadhimishwa kila mwaka MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Imetulia
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Itakuwa siku ya uhuru endapo kila mtu atakuwa makini kuanzia wapiga kura, wasimamizi na mawakala ili kura zisichezewe la sivyo tutashangaa jamaa wanashinda kwa kishindo!
   
 4. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una uhakika wewe ni advocate na siyo messenger wa advocate wanaokwenda kutoa taarifa kwa hakimu kuwa advocate hakuweza kufika mahakamani? :becky:

  Urais hauendi Kaskazini tena. Ulikuwa huko, ukaenda visiwani, baadaye ukaenda Kusini, na sasa hivi uko hapa Katikati. Ukitoka hapa unaelekea Magharibi kule sehemu za Tabora na Kigoma. Ukitoka huko Urais unaelekea Kagera. :becky:
   
 5. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uhuruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Uhuru wa nchi hii hautopatikana kwa kupiga kura kwani CCM ina kila mbinu.
  Mgombea wao anaweza akashindwa na still yeye ndio akatangazwa mshindi(Kumbuka ya Kibaki, Kenya)
  Ndio maana wengine wanathubutu kueleza tred ya urais itakavyokuwa miaka ijayo kuwa umetoka kaskazini, sasa upo kati kisha utaenda Kigoma. nk.
  Uhuru utapatikana pale watanzania watakapoamua kwa dhati kuwa sasa hatutaki kuwa watumwa. hapo kura hazitotumika tena.
   
 7. Nostradamus

  Nostradamus JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  andaa machozi kaka, kwani ukweli unaujua ila hutaki kuukubali.
  mimi wala sijidanganyi. CCM itashinda kwa kishindo na wazee wa kujidanganya huenda mkaamua kuacha kushabikia siasa kabisaaaa.
  Nasikika kama shabiki wa CCM kumbe walaaaaa. nasimamia ukweli tuuuuuuu
   
 8. T

  Tata JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Hili nalo ni neno muafaka.
   
 9. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kudadadeki...walahi....Hii schedule nani aliiacha? Nataka nione kwetu itakuwa lini!
   
 10. T

  Tata JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  You have a point. Inabidi wafanyie kazi huu ushauri hasa kwa kuwa bado wana siku kadhaa kabla ya uchaguzi.
   
 11. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Itakuwa siku kama tusikiavyo ya wana wa islael walipokuwa safarini kuelekea nchi ya Kanani, Jeshi la farao lilivyo zama kwenye bahari ya sham wakati wakifuatilia kuwaangamiza! Siku hiyo si nyinine bali ni 31/10/2010.
   
 12. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mi naamini bado tuna nafasi ya kubadili viongozi kwa kura. Hayo yasubiri kwanza.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  ..........Magharibi umesahau Rukwa na Katavi! :becky: :becky:
   
Loading...