mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
Duh! hii kiboko !leo umepiga marufuku madadapoa je mbadala wa hawa watu ili waweze kujipatia kipato ni upi?
mwenye akili timamu tu ndio atanielewaNaona bado unaendelea upumbavu club... Lowasa angefanya nini nchi hii we mbulula... Au unajua kuandika na kusoma tu ila ujui kutazama vitu kwa kina.. Tanzania tunaeneo kubwa sana vijana waende kulima
we shamba unatafutia DAR... mzima kweli we jamaamwenye akili timamu tu ndio atanielewa
nimeuliza hayo mashamba wanayo?
maana maeneo yote serikali ya ccm imegawa kwa kisingizio cha uwekezaji