Utaratibu wa kupata passport ya kieletroniki upoje?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Watanganyika wenzangu nawasalimu.

Naomba kujua Utaratibu wa kupata Passport za Kieletroniki upoje? Ni Viambatanisho gani natakiwa niwe navyo na Gharama zake za Serilali zipoje?

Naomba msaada wenu.
 
Nenda ofisi za uhamiaji watakupa maelezo zaidi, ila sio chini ya 150k
 
Utaratibu ni kujaza form mtandaoni na ku upload picha yako. Then unaprint hyo filled form then unalipia 20 elf. Baada ya hapo unapeleka hyo form ukiambatanisha na kopi ya nida ID au namba , cheti cha kuzaliwa, cheti cha mzazi...
Unapata interview kama ukipita then unalipa 130000 pale pale ndani.
Unapeleka risiti unaweka finger print na kupigwa picha then unasubiri pass.

Kuepuka usumbufu ukiwa tayari nitafute nkusaidie hatua kwa hatua
 
ASANTE kwa MAELEZO ya kueleweka.
 
Ikiwa mzazi hana cheti cha kuzaliwa, ila una kiapo chake ( affidavit ) je inawezekana ?
 
Pia unatakiwa uambatanishe barua ya serikali ya mtaa au ya kazi. Hlf kuna barua ya ombi. Na hyo form ikishatoka kuna sehemu inatakiwa igongwe muhuri wa wakili.
Uhamiaji yenyewe wanaotakiwa wawe na dawati Maalumu Kwa haya maombi na maelekezo ya kistaarabu yasiyo na kebehi Wala Rushwa, hii kazi kufanywa na watu wengine nje ni urasimu na yawezekana walio nazo ni wafanyakazi wa uhamiaji.
 
Utaratibu ni kujaza form mtandaoni na ku upload picha yako. Then unaprint hyo filled form then unalipia 20 elf. Baada ya hapo unapeleka hyo form ukiambatanisha na kopi ya nida ID au namba , cheti cha kuzaliwa, cheti cha mzazi...
Unapata interview kama ukipita then unalipa 130000 pale pale ndani.
Unapeleka risiti unaweka finger print na kupigwa picha then unasubiri pass.

Kuepuka usumbufu ukiwa tayari nitafute nkusaidie hatua kwa hatua
Vipi ukiweka cheti cha mzazi mmoja
 
Back
Top Bottom