Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,177
- 6,531
ndg wananchi, maofisa na wapiganaji nawasalimu ktk jina la bwana.
naomba kujua lini next intake ya kujiunga na jwtz/jkt na taratibu zake.
sifa zote nahisi kuwa nazo ila kuhusu Hiv,aids ntapima nikiwa huko.
aidha naomba kujua kama kuna msoto sana kwa mwenye digree coz huku kitaa najazwa ujinga eti lazma wanivunje mbavu wakinistukia. kingne cha ziada ni yapi malipo ya graduate wa cheo cha private na vipi graduate anastahili zipi.
naamini ktk nidhamu na unyenyekevu, pia nitakomaa hadi tone la mwisho.
mwenye maariea anijuze!!!
ahsanteni, wako
mzalendo Noniyang'waka, J
watu wenye digrii hawaajiriwi sasa hivi...labda uende tu ukajifunze uzalendo kwa kupalilia mashamba ya mpunga kwa vidole..
Unatafuta kazi kwa kuangalia mshahara? Duh na kwa bahati mbaya kule jeshini siyo ajira,(Employment) bali kule unaandikishwa(Enrollment). Kwa hiyo kama unatafuta kazi tu kule hakuna kazi ila nasikia kuna shughuli. Kwa ushauri- ukisikia interview ya JKT fasta nenda halafu ndo baadae utajipanga ukiwa huko.
Una fani gani ambayo unataka uwapelekee JWTZ?
watu wenye digrii hawaajiriwi sasa hivi...labda uende tu ukajifunze uzalendo kwa kupalilia mashamba ya mpunga kwa vidole..
kwAAA hiyo shule zmeisha? kafundshe mkuuShahada yangu ya elimu (B.A with Education)
cadet kidogo iko tofauti mkuu ukitaka uingie moja kwa moja ni mpaka panapotokea uitaji wa moja kwa moja tofauti na ivo ni mpaka upitie JKT maana hawachuki watu mtaani kabisa ila advantage ya JKT ni kwamba ukiitimu mafunzo vizuri unaweza ukaenda kwenye taasisi zingine zinazousika na maswala ya uasikari kama vile polisi bandari na kadhalika
kwAAA hiyo shule zmeisha? kafundshe mkuu