Taratibu za JWTZ/JKT

Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
3,136
6,428
Ndugu wananchi, maofisa na wapiganaji nawasalimu katika jina la Bwana. Naomba kujua lini next intake ya kujiunga na JWTZ/JKT na taratibu zake.

Sifa zote nahisi kuwa nazo ila kuhusu HIV, AIDS ntapima nikiwa huko. Aidha naomba kujua kama kuna msoto sana kwa mwenye digree coz huku kitaa najazwa ujinga eti lazima wanivunje mbavu wakinistukia. Kingne cha ziada ni yapi malipo ya graduate wa cheo cha private na vipi graduate anastahili zipi.
Naamini katika nidhamu na unyenyekevu, pia nitakomaa hadi tone la mwisho.

Mwenye maarifa anijuze.

Ahsanteni,

Wako mzalendo Noniyang'waka, J
 
ndg wananchi, maofisa na wapiganaji nawasalimu ktk jina la bwana.
naomba kujua lini next intake ya kujiunga na jwtz/jkt na taratibu zake.

sifa zote nahisi kuwa nazo ila kuhusu Hiv,aids ntapima nikiwa huko.
aidha naomba kujua kama kuna msoto sana kwa mwenye digree coz huku kitaa najazwa ujinga eti lazma wanivunje mbavu wakinistukia. kingne cha ziada ni yapi malipo ya graduate wa cheo cha private na vipi graduate anastahili zipi.
naamini ktk nidhamu na unyenyekevu, pia nitakomaa hadi tone la mwisho.
mwenye maariea anijuze!!!

ahsanteni, wako
mzalendo Noniyang'waka, J

watu wenye digrii hawaajiriwi sasa hivi...labda uende tu ukajifunze uzalendo kwa kupalilia mashamba ya mpunga kwa vidole..
 
watu wenye digrii hawaajiriwi sasa hivi...labda uende tu ukajifunze uzalendo kwa kupalilia mashamba ya mpunga kwa vidole..

Unatafuta kazi kwa kuangalia mshahara? Duh na kwa bahati mbaya kule jeshini siyo ajira,(Employment) bali kule unaandikishwa(Enrollment). Kwa hiyo kama unatafuta kazi tu kule hakuna kazi ila nasikia kuna shughuli. Kwa ushauri- ukisikia interview ya JKT fasta nenda halafu ndo baadae utajipanga ukiwa huko.
 
Interview ya JKT ni lini mkuu.? Mimi hata kama ni kwa mshahara mdogo kiasi gani ili mradi tu nalitumikia JWTZ, nakipenda sana hiki chombo.
 
cadet kidogo iko tofauti mkuu ukitaka uingie moja kwa moja ni mpaka panapotokea uitaji wa moja kwa moja tofauti na ivo ni mpaka upitie JKT maana hawachuki watu mtaani kabisa ila advantage ya JKT ni kwamba ukiitimu mafunzo vizuri unaweza ukaenda kwenye taasisi zingine zinazousika na maswala ya uasikari kama vile polisi bandari na kadhalika
 
Bora uwaeleweshe mkuu, wenzio wamekariri ukitoka jkt tu cadet.
 
Nina hamu ya kueleweshwa na wanaojua, hujui kitu kula kona...mtoa mada tuko pamoja
 
Jamani JKT kwa degree holder zinatoka lini? Naomba kujuzwa na mwenye tetesi zozote.
 
Kama una degree ya engineering au medicine unaingia JW bila ya kwenda jkt

Daktari akitoka monduli anapigwa mawe matatu(captain) kwa mpigo

Kwa ambao hawana hizo degree subiri mwezi wa sita au wasaba watatoa taarifa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom