Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,136
- 6,432
Ndugu wananchi, maofisa na wapiganaji nawasalimu katika jina la Bwana. Naomba kujua lini next intake ya kujiunga na JWTZ/JKT na taratibu zake.
Sifa zote nahisi kuwa nazo ila kuhusu HIV, AIDS ntapima nikiwa huko. Aidha naomba kujua kama kuna msoto sana kwa mwenye digree coz huku kitaa najazwa ujinga eti lazima wanivunje mbavu wakinistukia. Kingne cha ziada ni yapi malipo ya graduate wa cheo cha private na vipi graduate anastahili zipi.
Naamini katika nidhamu na unyenyekevu, pia nitakomaa hadi tone la mwisho.
Mwenye maarifa anijuze.
Ahsanteni,
Wako mzalendo Noniyang'waka, J