ratiba ya mafunzo ya mgambo

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
488
532
habari wakuu,naulizia ratiba ya mafunzo ya mgambo yaani huwa yanatolewa lini? na huwa yanachukua muda gani,,coz nimeona kuna kitengo fulani nyet wanahitaji watu waliopitia mgambo,polisi,jkt,jwtz
kwa sababu mgambo haina masharti mengi nimeamua kufuatila utaratibu wa kuingia jeshi la mgambo. mwenye kujua taratibu naomba anijuze
 
mugambo wanaruka na kukanyagana, wanaruka kinyama" hao ni tmk.

kwa usawa huu kila kazi itaheshimiwa. jiwe amekaza hatari
 
Mafunzo ya Mgambo hutilewa wilayani. Kila wilaya ina ratiba yake. Kwa msaada mtafute mshauru wa Mgambo wa wilaya unayo itaka atakupa ratiba
 
habari wakuu,naulizia ratiba ya mafunzo ya mgambo yaani huwa yanatolewa lini? na huwa yanachukua muda gani,,coz nimeona kuna kitengo fulani nyet wanahitaji watu waliopitia mgambo,polisi,jkt,jwtz
kwa sababu mgambo haina masharti mengi nimeamua kufuatila utaratibu wa kuingia jeshi la mgambo. mwenye kujua taratibu naomba anijuze
Mkuu...kama hutajali...nishirikishe hiyo fursa.
 
Nenda Hadi ofisi ya mkuu wa wilaya kutana na mshauri wa mgambo utachukua fomu utajanza then utaambiwa lini uje au utapigiwa simu siku ya vipimo sawa
 
Back
Top Bottom