Taratibu dunia inatupia macho uchaguzi wetu

Taratibu dunia inatupia macho uchaguzi wetu

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
881
Reaction score
2,569

Marekani ambao bila kupekecha macho ndio super power hapa duniani wameonesha kufuatilia kwa ukaribu yanayoendelea hapa nchini kuelekea uchaguzi.

Lilianza tamko la Ubalozi, akaja Secretary Pompeo na sasa Bwana Tibor Asst. Secretary of State amekutana na mzee wa fix Prof. Palamagamba na amempa za uso kuhusu uchaguzi.

Je, CCM itakuwa salama kama inavyofikiri iwapo suala la Tume Huru litafanikiwa (na dalili zinaonyesha itakuwepo tu) na ikaundwa? Kauli za Dr Bashiru kuwa ni uzembe kupoteza uchaguzi wakati dola unayo zitamponya au hajui madhara ya kuropoka?

Naamini kwa Tume Huru na uchaguzi sahihi chama chochote kitakacho shinda hakuna kitakacho pata 2/3 ya viti Bungeni.

Na hilo ni muhimu sana kwa nchi kwani hata Rais hawezi kufanya mambo kinyume cha sheria na katiba la sivyo ataishi kwa kashkashi kweli.

Bungeni Spika hawezi kuwa na nyodo kwani atapata tabu sana. Maana nzima hakuna kuburuzana tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume huru kwa ccm ni sawa na corona

Sent using tecno tochi
Dalili za sasa ni kwamba haita kwepeka. Tunabanwa kidogo kidogo nasi tunaingia mazima.
Shida iko kwa watu kama Dr Bashiru, hawajui kauli zao kama ya Jana ndio inachochea kulazimishwa kuunda tumehuru kabla ya uchaguzi kwa lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wameshaliona hili ndio maana wameshaanza kuandaa mapindikizi mapema...

Marekani ambao bila kupekecha macho ndio super power hapa duniani wameonesha kufuatilia kwa ukaribu yanayo endelea hapa nchini kuelekea uchaguzi.

Lilianza tamko la Ubalozi, akaja Secretary Pompeo na sasa Bwana Tibor Asst. Secretary of State amekutana na mzee wa fix Prof. Paramagamba na amempa za uso kuhusu uchaguzi.

Je, CCM itakuwa salama kama inavyofikiri iwapo suala la Tume Huru litafanikiwa (na dalili zinaonyesha itakuwepo tu) na ikaundwa? Kauli za Dr Bashiru kuwa ni uzembe kupoteza uchaguzi wakati dola unayo zitamponya au hajui madhara ya kuropoka?

Naamini kwa Tume Huru na uchaguzi sahihi chama chochote kitakacho shinda hakuna kitakacho pata 2/3 ya viti Bungeni.

Na hilo ni muhimu sana kwa nchi kwani hata Rais hawezi kufanya mambo kinyume cha sheria na katiba la sivyo ataishi kwa kashkashi kweli.

Bungeni Spika hawezi kuwa na nyodo kwani atapata tabu sana. Maana nzima hakuna kuburuzana tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Wanasiasa wetu wa upinzani wanafiki tupo dakika ya 80 ya mchezo wanaanza tusaliti wanainchi ujinga na mateso tulioyoyapata miaka minne wamesahau hawa wanasiasa wanafiki dawa yao nikuwatangazia ubaya wabaki majumbani kwao wakija majukwaani nikuwazomea na kuwapopoa mawe

Huu ujinga wakwenda kwenda ikulu nakupiga picha ndio maandalizi ya gori la mkono ilitakiwa wakaze mpaka tunafika mda wa penati ili hao wangalizi waje kweli ila kwa utoto tunaofanyiwa hakuna jipya
 
inauma sana

1583552472034.png

Viongozi wetu wa upinzani ndiyo hawa hapa.
 
Je kweli utakuwa na uchaguzi huru kama serikali inavyohubiri , Itakuwa bahati sana kama hatutapata kibano baada ya uchaguzi
 
Je kweli utakuwa na uchaguzi huru kama serikali inavyohubiri , Itakuwa bahati sana kama hatutapata kibano baada ya uchaguzi
Msikilize kwanza Bashiru Ali ndiyo utajua uchaguzi utakuwa huru na waki au la.
 
CCM wanajua wanatakiwa kukaa na vyama vyote vya upinzani wazungumze navyo kuhusu hilo suala, na hili Seif Hamad wa ACT ameshawaambia, ni vyema waache maigizo yao, dunia inaona kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kauli ya Dr bashiru, ni kheri kutosoma kabisa. Maana amedhihirisha ule usemi usemao ni kheri kuwa na akili kuliko kuwa na Elimjy
 
Chaguzi
Je kweli utakuwa na uchaguzi huru kama serikali inavyohubiri , Itakuwa bahati sana kama hatutapata kibano baada ya uchaguzi
Uchaguzi zote za Tanzania ni huru na haki na ndio maana hata Marekani wanaitambua Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao kwa sasa ipo chini ya Rais JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!
 
Kwa kauli ya Dr bashiru, ni kheri kutosoma kabisa. Maana amedhihirisha ule usemi usemao ni kheri kuwa na akili kuliko kuwa na Elimjy
Kwa ujumla hata pale UD watu ambao huamua kusoma DS, ni wale ambao uwezo wao kimasomo ni mdogo sana. Lakini kwa vile kila idara, wanaamini ni lazima wawepo maDr na maProf, basi nao huwateua watu wao wa kuwa na hadhi hiyo.
 
Back
Top Bottom