imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,461
Hawajui kuwa cia tuko nao humuhumu😎CCM imeshatengeneza vyama maalum vya upinzani kuiaminisha dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia.
Hawajui kuwa cia tuko nao humuhumu😎CCM imeshatengeneza vyama maalum vya upinzani kuiaminisha dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia.
King kinya kawaumbua tehe tehe[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Kuna mtu aliniambia Bashiru alikuwa mwanachama kindakindaki wa CUF ile asilia. Jee kuna wakati anautumia ushabiki wake asili kuivurugia CCM ili iharibikiwe na kauli zake? Najiuliza tuu. Au akili imeshaharibika na kuwa 100% ya ccm?Bashiru anaimaliza ccm bila ccm kustuka
In God we Trust
CCM imeshatengeneza vyama maalum vya upinzani kuiaminisha dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia.
Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM, jamaa wameamua kummaliza bosi wao kisayansi zaidi...mbona Raha tupu Kama kesho Simba kumchapa Yanga. Zile za kichina kum kum kum....Kuna mtu aliniambia Bashiru alikuwa mwanachama kindakindaki wa CUF ile asilia. Jee kuna wakati anautumia ushabiki wake asili kuivurugia CCM ili iharibikiwe na kauli zake? Najiuliza tuu. Au akili imeshaharibika na kuwa 100% ya ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu aliniambia Bashiru alikuwa mwanachama kindakindaki wa CUF ile asilia. Jee kuna wakati anautumia ushabiki wake asili kuivurugia CCM ili iharibikiwe na kauli zake? Najiuliza tuu. Au akili imeshaharibika na kuwa 100% ya ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM, jamaa wameamua kummaliza bosi wao kisayansi zaidi...mbona Raha tupu Kama kesho Simba kumchapa Yanga. Zile za kichina kum kum kum....
Unataka kusema kuwa mabeberu wetu hawana uwezo wa kujua vyama vya akina Lipumba, Dovutwa, Cheyo, Shibuda na akina Mbatia? Huoni kuwa Tume huru itaua silently hivi vyama fake?
Marekani ambao bila kupekecha macho ndio super power hapa duniani wameonesha kufuatilia kwa ukaribu yanayoendelea hapa nchini kuelekea uchaguzi.
Lilianza tamko la Ubalozi, akaja Secretary Pompeo na sasa Bwana Tibor Asst. Secretary of State amekutana na mzee wa fix Prof. Palamagamba na amempa za uso kuhusu uchaguzi.
Je, CCM itakuwa salama kama inavyofikiri iwapo suala la Tume Huru litafanikiwa (na dalili zinaonyesha itakuwepo tu) na ikaundwa? Kauli za Dr Bashiru kuwa ni uzembe kupoteza uchaguzi wakati dola unayo zitamponya au hajui madhara ya kuropoka?
Naamini kwa Tume Huru na uchaguzi sahihi chama chochote kitakacho shinda hakuna kitakacho pata 2/3 ya viti Bungeni.
Na hilo ni muhimu sana kwa nchi kwani hata Rais hawezi kufanya mambo kinyume cha sheria na katiba la sivyo ataishi kwa kashkashi kweli.
Bungeni Spika hawezi kuwa na nyodo kwani atapata tabu sana. Maana nzima hakuna kuburuzana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha hiyo inakupiga chenga?Za uso zipi hizo mbona huziweki tuzione?
"Kukaribisha"? Ndio tafsiri yako? Basi we we bado sanaKukaribisha uchaguzi huru na wa haki ndio za uso?,idiot
Kushika nchi kivipi? Wamekosa nini wakati Sera za kuongoza nchi wanazo?CCM bado ipo salama sana hasa kwenye kiti cha Urais sababu mpaka sasa hakuna chama kilichoonyesha utayari wa kushika nchi.
Vyama karibia vyote vinawaza jinsi kuongeza ruzuku tu..
Kwenye Ubunge na Udiwani naona kwenye ushindani zaidi endapo uwanja utakuwa huru.
CCM imeshatengeneza vyama maalum vya upinzani kuiaminisha dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia.
Wanasiasa wanafki wamekosa hasira za wananchi. Wasingeendeleza upuuzi huo .Wanasiasa wetu wa upinzani wanafiki tupo dakika ya 80 ya mchezo wanaanza tusaliti wanainchi ujinga na mateso tulioyoyapata miaka minne wamesahau hawa wanasiasa wanafiki dawa yao nikuwatangazia ubaya wabaki majumbani kwao wakija majukwaani nikuwazomea na kuwapopoa mawe
Huu ujinga wakwenda kwenda ikulu nakupiga picha ndio maandalizi ya gori la mkono ilitakiwa wakaze mpaka tunafika mda wa penati ili hao wangalizi waje kweli ila kwa utoto tunaofanyiwa hakuna jipya