je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,090
- 4,060
Kitu cha kushangaza kabisa mkoa niliokuwepo hakukuwa na maandamo wala uharibifu wowote ule siku ya uchaguzi.! Lakin siku ya pili tena jioni ndio vurugu zinaanza kwa kasi ya ajabu ?? Hawa walikuwa wapi kuanza vurugu siku husika.???
Inaonekana ilikuwa mpango maalum wa kumtia doa kiongozi kwa makusudi na sijui yeye kama ndio alietoa amri kwamba watu wauliwe Kinyama kiasi kile
Swali fikirishi kwann zile gari Wa*jes* zilikuwa zikipita tu dakika moja mbele tu. Vijana wa hovyo wanaanza kuchoma sheli na kuaribu mali za watu??? Wale jamaa walikuwa wanatafuta nini huko juu katika uongozi.????
Na kwann polisi walikuwa wanaua watu bila hatia??
Note.
Vita sio nzuri hata kidogo kwa maana haichagui kabila wala dini
Na kingine tanzania ni maskin hatufikia kuuana kikatili kiasi hiki kisa madaraka
Madaraka ni ya mda mfupi na hata nguvu pia ni za muda mfupi
Kabla ya kufanyiana uovu tuangalie kwanza mwisho wake.
Watu na sare zao kabisa ambao wananchi wanawaamini lakin ndio mlikuwa mnawaambia waanza vurugu sijui mlikuwa mnapata maslah gani ?? Na boda boda wakishaambiwa na kwtk basi mnavimba kumbe mlikuwa mnawaingiza watu mkenge
Note 2
Utakachofanya ndio utakachofanyiwa hiii ni karma ya ajabu sana
Yetu macho.
Nina hasira sana moyo unavuja damu nafsi za watu zimedhulumiwa kwa ulafi wa vyeo na hela