Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,492
- 42,564
Mambo ya kitoto yapi sasa wakati ametoa tahadhari?!
Kubwa zima with 58 years old ushinde JF kugombea jina tena nickname?
Too low!!!
Mambo ya kitoto yapi sasa wakati ametoa tahadhari?!
- Jamani naomba kuweka tahadhari huyu le mutuz sio mimi Original Le Mutuz Nation The King of All Bongo Social Media Network naona kuna mtu ameona ukitumia jina langu linalipa, so narudia sihusiki na huyu mtu kwa aina yoyote ile wala simfahamu U know, ndio kwanza nimeiona leo U knoe daaamn!!
Le Mutuz
W.j. Malecela, le bebeez. Jitu zima hoovyoo!