Tapeli wa Mapenzi..Moshi

Tapeli wa Mapenzi..Moshi

mi huyo ndio namtaka......anaonekana kidume kweli..........mwanaume wako peke yako huyo si mzima......hebu bwana Isaac naomba mawasiliano ya bwana Salim............

tiGO 3 ndo namba yake
 
Last edited by a moderator:
umetoswa tena kwa aibu ndo ume opt kuja mchafua huku jf,acha kiherehere!
 
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah.
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.

Mleta uzi naye ni kati ya wakeze jamaa alowatapeli!? Au mindo sijaelewa, maana huyu Isaac kaandika kwa machungu utadhani nayeye ni muhusika
 
Lol!!!!! hapa ni harufu ya umbea tu,,,,,,, hao wake wenzio wanakutisha nini mpaka ulalamike jf???????!!!!
Pambana mwanamke afu mwanaume ujue siku zote si wa peke yako..

kuna ka harufu ka kutemwa hapo ujue!!!

jamaa pamoja na uwembe wake wote lakini amemkataa huyu! kweche kweche kweche!! uuu hahahahaaaa!!! nalog off!
 
Hebu jibu swali la Smile hapo juu huenda tukakusaidia kwa namna moja au nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Hakika! Nasubiri aliyeusoma akiwa online aje anisaidie kuudadavua

ngoja nije pm nikudadavulie!!!

bila shaka kuna kitu ambacho hakiwezi anikwa hapa mama!!

too much sebuleni!
 
mbona hao wahusika walioolewa hawajajitokeza kulalamika?
 
kuna ka harufu ka kutemwa hapo ujue!!!

jamaa pamoja na uwembe wake wote lakini amemkataa huyu! kweche kweche kweche!! uuu hahahahaaaa!!! nalog off!

Ndo maana siku izi unaambiwa mjini msingi kiuno eeeenh!!!!! na usi lilie uzuri lilia bahati...
 
Nyie mkisikia mhasibu mnajua fedha ipo mnakubali kuelewa harakaharaka bila kuchunguza
 
We Isaac umekuja huku kumshati wewe ni mmoja wa wakeze? Au ni mkaza mjomba? Au Mchicha mwiba wewe? Basi chei chei.
 
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah.
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.
Na nyinyi kinamama mmzidi kupapatikia watu bila kufanya uchunguzi wa kina
 
Back
Top Bottom