Ndagullachrles
JF-Expert Member
- Jun 20, 2023
- 254
- 258
Jumuiya ya Wanawake CCM(UWT)Moshi mjini kupitia
Kamati yake ya Utekelezaji (W)Moshi Mjini ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Theresia Komba , Katibu,Catherine Sarawatt wameanzisha mradi mpya wa Ushonaji .
Mradi huo utatoa fursa kwa Wanawake wenye ujuzi wa ushonaji na wajasiriamali,wasichana na vijana wasio na ajira kutumia mradi huo
Mradi huo unalenga kuboresha mapato ya Jumuia na ustawi wa wanawake Kwa ujumla,.
Mradi huo umelenga Ushonaji wa Bendera za CCM,sare za Chama ,Sare za shule na mitindo mbalimbali ya mavazi Kwa lengo kusogeza huduma Kwa wanachama na Makada wa Chama Cha Mapinduzi.
#Siasa& Uchumi