NAOMBA NIWATAHADHARISHE WABONGO WENZANGU HASA KINA DADA KUHUSU TAPELI WA KIUME ANAJIITA MIKE/STEVEN MWAKAWAGO....
IN SHORT UYU KAKA ANAJIDAI KUTUMA MSG NA KUJIDAI ANAKUFAHAM SANA NA PIA ANAJIDAI ANA QUALIFICATION KAMA YA MHUSIKA EG. KAMA MHUSIKA ANA MASTERS IN INTERNATIONAL TRADE BASI YEYE MWAKAWAGO ATAJIDAI NDO AMEMALIZA PHD YA INETRNATIONAL TRADE HAVARD UNIVERSITY NA NDO AMERUD ANAFANYA KAZI W.T.O. DAR ES SALAAM.....
HII IMENITOKEA MIE JUZI NA NLIPOONGEA NAE AKAJIDAI YUKO TAYAR KUNITAFUTIA KAZI IVYO NIMTUMIE EMAIL... FUNNY ENOUGH ANAJILENGESHA KWENYE STORY NA KUJIDAI ANAWAFAHAM SOME OF UR CLOSE FRIENDS....
KABLA SIJAMTUMIA NIKAAMUA KUMULIZA ONE OF MY FRIENDS AMBAE UYO MWAKAWOGA ANAJIDAI ANAMFAHAM....CHA AJABU RAFIKI AKANIAMBIA KAA MBALI NI TAPELI WA KUTUPWA NA PIA ALISHAWAHI KUMFWATA KWA GIA IYO IYO YA KAZI UN NA AKATAKA $18,000.....HUU NI WIZI NA UTAPELI WA WAZIWAZI....
NAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIMSHUGHULIKIE!!!
SWALI NI KUWA ANAPATAJE INFO ZA WATU?? AU ANA-ACCESS NA CVS ZA WATU KATIKA JOB SEARCH AGENCIES????
Address zake anatumia ni: drsteven1973@un.co.tz au mijusa1981@yahoo.com na simu ni +255 782
288845!!!!!!!
TUANGALIE TUSIJEKUWA TUPO SIDE YA MATAPELI.....!HERE WE DARE TO TALK OPENLY.....!Embu edit Post yako na uondoe namba yake ya simu na jina lake. Kama aim ni kuwatahadharisha watu juu ya aina ya utapeli huitaji kuweka specific contact details zake.
Kama amekosea mpeleke maakamani akihukumiwa ndio umuanike hadharani. Huu ni uonezi. Je kama hukumuelewa? Au labda kweli anafanya hivyo vitendo lakini kama hajahukumiwa usimuhukumu.
Utapeli wenyewe unaonekana wa kisanii. Mtu gani anayetoa $18,000 kabla ya kupewa kazi!!!!!!! Hii haingii akilini. Kama kweli alikupa kazi anastaili malipo as long as wote mliagree kabla.
Unayejiita "Allah's Slave", inawezekana nawe ni kati ya hao matapeli.
HAYO NI MAGAZETI ...NDO MAANA HUMU TUNA TAJA KABISA ROSTAM,MBOWE,BALILE......NK.Hivi mtu akipinga article ina maana yeye ni mmoja wa waliotajwa? Freedom of speech is ok but not at the expense of others. Huyo mtu hajahukumiwa na HAJATAPELI. Kinachosemwa ni kuwa alitaka kutapeli.
Hivi nyinyi hamjiulizi kwa nini magazeti hayachapishi openly majina ya watuhumiwa. Mara ngapi tumesikia neno (jina tunalo)? ni kwa sababu si vizuri kufanya hivyo mpaka mtu apatikane na hatia au afanye kweli tendo la utapeli. In this case he didn't.
Embu edit Post yako na uondoe namba yake ya simu na jina lake. Kama aim ni kuwatahadharisha watu juu ya aina ya utapeli huitaji kuweka specific contact details zake.
Kama amekosea mpeleke maakamani akihukumiwa ndio umuanike hadharani. Huu ni uonezi. Je kama hukumuelewa? Au labda kweli anafanya hivyo vitendo lakini kama hajahukumiwa usimuhukumu.
Utapeli wenyewe unaonekana wa kisanii. Mtu gani anayetoa $18,000 kabla ya kupewa kazi!!!!!!! Hii haingii akilini. Kama kweli alikupa kazi anastaili malipo as long as wote mliagree kabla.

NAOMBA NIWATAHADHARISHE WABONGO WENZANGU HASA KINA DADA KUHUSU TAPELI WA KIUME ANAJIITA MIKE/STEVEN MWAKAWAGO....

IN SHORT UYU KAKA ANAJIDAI KUTUMA MSG NA KUJIDAI ANAKUFAHAM SANA NA PIA ANAJIDAI ANA QUALIFICATION KAMA YA MHUSIKA EG. KAMA MHUSIKA ANA MASTERS IN INTERNATIONAL TRADE BASI YEYE MWAKAWAGO ATAJIDAI NDO AMEMALIZA PHD YA INETRNATIONAL TRADE HAVARD UNIVERSITY NA NDO AMERUD ANAFANYA KAZI W.T.O. DAR ES SALAAM.....

HII IMENITOKEA MIE JUZI NA NLIPOONGEA NAE AKAJIDAI YUKO TAYAR KUNITAFUTIA KAZI IVYO NIMTUMIE EMAIL... FUNNY ENOUGH ANAJILENGESHA KWENYE STORY NA KUJIDAI ANAWAFAHAM SOME OF UR CLOSE FRIENDS....

KABLA SIJAMTUMIA NIKAAMUA KUMULIZA ONE OF MY FRIENDS AMBAE UYO MWAKAWOGA ANAJIDAI ANAMFAHAM....CHA AJABU RAFIKI AKANIAMBIA KAA MBALI NI TAPELI WA KUTUPWA NA PIA ALISHAWAHI KUMFWATA KWA GIA IYO IYO YA KAZI UN NA AKATAKA $18,000.....HUU NI WIZI NA UTAPELI WA WAZIWAZI....

NAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIMSHUGHULIKIE!!!

SWALI NI KUWA ANAPATAJE INFO ZA WATU?? AU ANA-ACCESS NA CVS ZA WATU KATIKA JOB SEARCH AGENCIES????

Address zake anatumia ni: drsteven1973@un.co.tz au mijusa1981@yahoo.com na simu ni +255 782 288845!!!!!!!