Tapeli Wa Bongo

Kiuno14

Member
Feb 26, 2008
6
0
NAOMBA NIWATAHADHARISHE WABONGO WENZANGU HASA KINA DADA KUHUSU TAPELI WA KIUME ANAJIITA MIKE/STEVEN MWAKAWAGO....

IN SHORT UYU KAKA ANAJIDAI KUTUMA MSG NA KUJIDAI ANAKUFAHAM SANA NA PIA ANAJIDAI ANA QUALIFICATION KAMA YA MHUSIKA EG. KAMA MHUSIKA ANA MASTERS IN INTERNATIONAL TRADE BASI YEYE MWAKAWAGO ATAJIDAI NDO AMEMALIZA PHD YA INETRNATIONAL TRADE HAVARD UNIVERSITY NA NDO AMERUD ANAFANYA KAZI W.T.O. DAR ES SALAAM.....

HII IMENITOKEA MIE JUZI NA NLIPOONGEA NAE AKAJIDAI YUKO TAYAR KUNITAFUTIA KAZI IVYO NIMTUMIE EMAIL... FUNNY ENOUGH ANAJILENGESHA KWENYE STORY NA KUJIDAI ANAWAFAHAM SOME OF UR CLOSE FRIENDS....

KABLA SIJAMTUMIA NIKAAMUA KUMULIZA ONE OF MY FRIENDS AMBAE UYO MWAKAWOGA ANAJIDAI ANAMFAHAM....CHA AJABU RAFIKI AKANIAMBIA KAA MBALI NI TAPELI WA KUTUPWA NA PIA ALISHAWAHI KUMFWATA KWA GIA IYO IYO YA KAZI UN NA AKATAKA $18,000.....HUU NI WIZI NA UTAPELI WA WAZIWAZI....

NAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIMSHUGHULIKIE!!!

SWALI NI KUWA ANAPATAJE INFO ZA WATU?? AU ANA-ACCESS NA CVS ZA WATU KATIKA JOB SEARCH AGENCIES????

Address zake anatumia ni: drsteven1973@un.co.tz au mijusa1981@yahoo.com na simu ni +255 782 288845!!!!!!!

Address zake anatumia ni: drsteven1973@un.co.tz au mijusa1981@yahoo.com na simu ni +255 782
288845!!!!!!!

Watu wa aina hiyo wako wengi sana, wanaweza kutofautiana style au approach zao tu! Cha msingi huwezi kuingia kwenye serious discussions or agreements na mtu ambaye humfahamu vizuri, hufahamu anafanya kazi wapi au kampuni yake na pia huwezi tu kupapatika na kazi ambayo hukuomba so take care, utapeli hapa mjini Dar ni mkubwa sana

matapeli in general huwapata watu ambao ni wahitaji,(TUSIITE TAMAA) na kutaka mafanikio ya haraka.....! Pindi wakigundua unataka kitu cha juu kwa bei ya chini au kwa shortcut hapa ndipo watakapotuwahi......
MAKE SURE UKIONA JAMBO LOLOTE UNAHIMIZWA ULIFANYE KWA HARAKA'without time to think of it' JUA KUNA DALILI ZA UTAPELI....
WATCH OUT GUYS....!

Embu edit Post yako na uondoe namba yake ya simu na jina lake. Kama aim ni kuwatahadharisha watu juu ya aina ya utapeli huitaji kuweka specific contact details zake.
Kama amekosea mpeleke maakamani akihukumiwa ndio umuanike hadharani. Huu ni uonezi. Je kama hukumuelewa? Au labda kweli anafanya hivyo vitendo lakini kama hajahukumiwa usimuhukumu.

Utapeli wenyewe unaonekana wa kisanii. Mtu gani anayetoa $18,000 kabla ya kupewa kazi!!!!!!! Hii haingii akilini. Kama kweli alikupa kazi anastaili malipo as long as wote mliagree kabla.

TUANGALIE TUSIJEKUWA TUPO SIDE YA MATAPELI.....!HERE WE DARE TO TALK OPENLY.....!
MATAPELI WAPO NA KAMA KUNA MEMBER ANA DETAILS ZAO ZIWEKWE JAMVINI....!

NIMEONA HAPO MOJA YA EMAIL TLD YAKE NI TZ UN.CO.TZ NIKAAMUA KUITAFUTA LAKINI HAKUNA TAARIFA ZAKE ANGALIA

http://whois.domaintools.com/un.co.tz

INAWEZEKAJA HUYU ANAJIFANYA ANAHUSIANA NA WATU WA UMOJA WA MATAIFA AU YEYE NI MFANYAKAZI WA KULE AU LABDA ANASHIRIKIANA NAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE

SAWA NA WALE WANAOTOA TAARIFA ZA BENKI ZA UWONGO KUPELEKA VYUO VYA ULAYA

Unayejiita "Allah's Slave", inawezekana nawe ni kati ya hao matapeli.

Hivi mtu akipinga article ina maana yeye ni mmoja wa waliotajwa? Freedom of speech is ok but not at the expense of others. Huyo mtu hajahukumiwa na HAJATAPELI. Kinachosemwa ni kuwa alitaka kutapeli.

Hivi nyinyi hamjiulizi kwa nini magazeti hayachapishi openly majina ya watuhumiwa. Mara ngapi tumesikia neno (jina tunalo)? ni kwa sababu si vizuri kufanya hivyo mpaka mtu apatikane na hatia au afanye kweli tendo la utapeli. In this case he didn't.

HAYO NI MAGAZETI ...NDO MAANA HUMU TUNA TAJA KABISA ROSTAM,MBOWE,BALILE......NK.
JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY!!!!!

Uhuru wa kuongea...
Siwezi kuwa mnafiki na kuficha details za mhusika!!
ni kweli amefanya hayo ivyo nimeamua kuweka mambo hadharani!!!
Kama ni wewe mwenyewe ndo tapeli au unashirikiana nae it's up to you.....

Embu edit Post yako na uondoe namba yake ya simu na jina lake. Kama aim ni kuwatahadharisha watu juu ya aina ya utapeli huitaji kuweka specific contact details zake.
Kama amekosea mpeleke maakamani akihukumiwa ndio umuanike hadharani. Huu ni uonezi. Je kama hukumuelewa? Au labda kweli anafanya hivyo vitendo lakini kama hajahukumiwa usimuhukumu.

Utapeli wenyewe unaonekana wa kisanii. Mtu gani anayetoa $18,000 kabla ya kupewa kazi!!!!!!! Hii haingii akilini. Kama kweli alikupa kazi anastaili malipo as long as wote mliagree kabla.

Ktk hili nakuunga mkono..

suala la kuweka habari ya upande mmoja na kuweka details binafsi za 'mtuhumiwa' tena za upande mmoja si mfumo wa kisomi na ni mtindo wa kihuni na kinyume cha sheria na natural justice.

Binafsi, sioni faida ya moja kwa moja ya mtindo kama huu, kama lengo ni kuutahadharisha umma zipo njia halali na fasaha..JF si mahala pa ujinga kama huu..

Kwanini kama mtu una shule yako utafute kazi kupitia njia za vichochoroni? Makazi kibao ya UN yanatangazwa kila mwezi, fanya application na kama una qualification (kama huna kasome!) watakuita upige interview, kila siku tunapiga kelele hapa kuhusu hii tabia ya kupeana kazi kwa kujuana au kwa hongo! Ukitaka njia ya mkato kwa ukilaza wako au lack of confidence ndio wenzako wananeemeka.

Hakuna haja ya namba ya simu, ili iweje?

Hivi agreement ya JF inasemaje kuhusu hili?

Tutajuaje kama mtoa mada kapigwa kibuti na ana hasira na ex boyfriend wake je?

Inabidi habari zitolewe bila ya kutupa sababu ya kutia shaka, hii imekuwa toopersonal.

NAOMBA NIWATAHADHARISHE WABONGO WENZANGU HASA KINA DADA KUHUSU TAPELI WA KIUME ANAJIITA MIKE/STEVEN MWAKAWAGO....

IN SHORT UYU KAKA ANAJIDAI KUTUMA MSG NA KUJIDAI ANAKUFAHAM SANA NA PIA ANAJIDAI ANA QUALIFICATION KAMA YA MHUSIKA EG. KAMA MHUSIKA ANA MASTERS IN INTERNATIONAL TRADE BASI YEYE MWAKAWAGO ATAJIDAI NDO AMEMALIZA PHD YA INETRNATIONAL TRADE HAVARD UNIVERSITY NA NDO AMERUD ANAFANYA KAZI W.T.O. DAR ES SALAAM.....

HII IMENITOKEA MIE JUZI NA NLIPOONGEA NAE AKAJIDAI YUKO TAYAR KUNITAFUTIA KAZI IVYO NIMTUMIE EMAIL... FUNNY ENOUGH ANAJILENGESHA KWENYE STORY NA KUJIDAI ANAWAFAHAM SOME OF UR CLOSE FRIENDS....

KABLA SIJAMTUMIA NIKAAMUA KUMULIZA ONE OF MY FRIENDS AMBAE UYO MWAKAWOGA ANAJIDAI ANAMFAHAM....CHA AJABU RAFIKI AKANIAMBIA KAA MBALI NI TAPELI WA KUTUPWA NA PIA ALISHAWAHI KUMFWATA KWA GIA IYO IYO YA KAZI UN NA AKATAKA $18,000.....HUU NI WIZI NA UTAPELI WA WAZIWAZI....

NAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIMSHUGHULIKIE!!!

SWALI NI KUWA ANAPATAJE INFO ZA WATU?? AU ANA-ACCESS NA CVS ZA WATU KATIKA JOB SEARCH AGENCIES????

Address zake anatumia ni: drsteven1973@un.co.tz au mijusa1981@yahoo.com na simu ni +255 782 288845!!!!!!!

msema ukweli ni mpenzi wa mungu siyo jambo la busara kumtuhumu mtu na kumuhukumu bila kumsikiliza huo ndiyo msingi wa nemo judex on causa sua natural justice, niliposoma tuhuma hii nikaifutilia nikaifanyia uchunguzi nimegundua toa mada ni muongo ndiyo maana ametaja jina na detail za upande mmoja ajajtambulisha yeye ni nani, ngoja niwe mkweli nimegundua mtoa mada anaitwa joakina de mello ni mwanasheria na advocate ni kamishina wa haki za binadamu, ushahidi ninao wa kuthibitisha yeye na uyo anayemtuhumu ni tapeli wa bongo ni wapenzi walioanza uhusiano wao mwaka 2005 wakati huo mtoa mada akiwa ni mkurugenzi wa chama cha wanasheria wanawake Tanzania TAWLA joakina de mello alikuwa anaishi mikochen B kwenye flat za bima uyo anayetuhumiwa ni tapeli wa bongo alikuwa anaenda kulala kwa uyo mama adi asubui wakati huo mabinti wawili wa uyo mama walikuwa wako europe ki masomo pale kwa joakina alikuwa anaishi na house boy ambaye alikuwa anakuja na kuondoka, je niwape kisa kilichopelekea adi joakina de melo kumtuhumu na kumuhuku uyo kijana kumuita tapeli mtu kisheria ni kosa linaitwa DEFAMATION, kwa haya machache nataka uyo dada akanushe aya niliyoyasema mimi nina ushahidi wa msg zake na picha zake niko tayari kuthibitisha pasipo kuacha shaka lolote, wasalaam ni mimi nasema kweli fitina daima kwangu mwiko

...mmmm, The Plot Thickens. Joakina De Mello ninayemjua mimi ajipe a.k.a ya KIUNO14 ?? Labda Ni Mwingine.

NAOMBA NIWATAHADHARISHE WABONGO WENZANGU HASA KINA DADA KUHUSU TAPELI WA KIUME ANAJIITA MIKE/STEVEN MWAKAWAGO....
IN SHORT UYU KAKA ANAJIDAI KUTUMA MSG NA KUJIDAI ANAKUFAHAM SANA NA PIA ANAJIDAI ANA QUALIFICATION KAMA YA MHUSIKA EG. KAMA MHUSIKA ANA MASTERS IN INTERNATIONAL TRADE BASI YEYE MWAKAWAGO ATAJIDAI NDO AMEMALIZA PHD YA INETRNATIONAL TRADE HAVARD UNIVERSITY NA NDO AMERUD ANAFANYA KAZI W.T.O. DAR ES SALAAM.....
HII IMENITOKEA MIE JUZI NA NLIPOONGEA NAE AKAJIDAI YUKO TAYAR KUNITAFUTIA KAZI IVYO NIMTUMIE EMAIL... FUNNY ENOUGH ANAJILENGESHA KWENYE STORY NA KUJIDAI ANAWAFAHAM SOME OF UR CLOSE FRIENDS....
KABLA SIJAMTUMIA NIKAAMUA KUMULIZA ONE OF MY FRIENDS AMBAE UYO MWAKAWOGA ANAJIDAI ANAMFAHAM....CHA AJABU RAFIKI AKANIAMBIA KAA MBALI NI TAPELI WA KUTUPWA NA PIA ALISHAWAHI KUMFWATA KWA GIA IYO IYO YA KAZI UN NA AKATAKA $18,000.....HUU NI WIZI NA UTAPELI WA WAZIWAZI....
NAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIMSHUGHULIKIE!!!
SWALI NI KUWA ANAPATAJE INFO ZA WATU?? AU ANA-ACCESS NA CVS ZA WATU KATIKA JOB SEARCH AGENCIES????
Address zake anatumia ni: drsteven1973@un.co.tz au mijusa1981@yahoo.com na simu ni +255 782 288845!!!!!!!

Copied

Hapo kwenye red tu:confused2:
Hv nyie watu kumbe mna fwedha za kumwaga, tufanye ungempa hiyo hela ukapata hiyo kazi ukalipwa M3/m ingekuchukua mwaka mzima kuziba hilo pengo!!! Kam una mtaji wa 25m una haja gani ya kuhangaikia kazi utayolipwa chini ya 100,000/= tu kwa siku!

Anyway...thanks for the info.

namuunga mkono nasema kweli iyo issue naijua izo taarifa siyo za ukweli ukweli halisi ni huyo kijana alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na joakina de melo then akawachanganya joakina na shoga yake anayefanya kazi PPF ARUSHA anaongoza kwa ufuska ofisi yote ya PPF arusha na uyo dada amesoma masters degree na joakina de melo MBA international busness IFM, na wameishi chumba kimoja yaani joakina alikuwa roomate wa uyo dada, badae wakaja kumgundua mimi nimeshawaona Namnani hotel sinza tena joakina alinikodi mimi gari yake RAV 4 ya rangi ya metalic aliiacha pale sinza kijiweni kwenye shell ya BP akawaomba walinzi wamlindie akaenda kupigwa miti na uyo kijana wanaye mwita tapeli wa bongo, mimi taksi dereva na walinzi wa shell ya BP na muhudumu wa vyumbani wa loin hotel tuna ushaidi wa kuthibitisha, joakina kanusha izo tuhuma na wewe malaya wa PPF arusha kanusha izo tuhuma, kutiwa mtiwe nyie kwa raha zenu mkitofautiana mnaanza kuzushiana majungu, kuwa realy mama unalilia upate u judge na auteuliwi

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom