mkuu ubinadamu wako ulikuponza!
But akimtokea mtu mwengine, na aongozane nae hadi ndani tu! Ukiwa na dharura mbona kadi yako inatolewa mda huo huo!
Nakumbuka ya kwangu ilimezwa posta pale (dar) nilichofanya, niliingia ndani na kuwaonesha tiket! Mbona walinitolea hapo hapo!
View attachment 139269
anaitwa lusajo mwaipyana
huyu jamaa aliwahi kutolewa kwenye jamvini humu kuwa alimtapeli mtu. Utapeli wake huufanya kwenye atm za crdb. Hujifanya kadi yake imezama na huvaa smat na akimfuata mtu humwambia kuwa anafanya jeshini jkt. Taarifa zake za kweye face book zinaonyesha kuwa aliwahi either kusoma ama kufanya kazi kyela sekondari. Pia ni mtu ambaye amewahi kuishi lilongwe malawi na morogoro.
Mimi alinitapeli tarehe 31-1-2014, ilikuwa siku ya ijumaa. Nilienda kutoa pesa kwenye atm ya crdb ubungo kituo cha mafuta cha oil com. Pale kuna atm-mashine mbili za crdb. Nikamkuta analalamika kuwa kadi yake imemezwa na kwamba alikuwa na gari limemuishia mafuta. Alikuwa kavaa kofia na mavazi smati na tai. Akaniomba nimuazime 20,000/= na kwamba atanirushia baadaye. Nilimuamini kibinadamu na kumpa 20,000/= lakini kabla nilimwambia anipe namba yake ambayo ni 0653 222 215 na nilimuuliza anafanya kazi wapi. Akasema kuwa anafanya kazi jeshini mwenge ni mwanajeshi.
Kilichotokea baadaye ukimpigia simu hapokei kabisa simu. Katika kugoogle kwenye internet nimekuta malalamiko pia jamii forum kuna mtu alishawahi kumtapeli kipindi cha nyuma na inaonekana kuwa ndio mchezo wake. Ni vyema taasisi husika zikafanya uchunguzi juu ya tapeli huyu. Aidha, hii ni tahadhari kwa waamember wengine.
taarifa zake kweny e facebook
kawahi kuishi malawi lilongwe na morogoro
kasoma/kafanya kazi kyela sekondary
Mkuu huoni aibu kuelezea mazingira ya kutapeliwa kizembe namna hiyo?
Ukutane na mtu ATM humjui hakujui akwambie umkopeshe hela kwa dhamana ya namba ya simu, halafu useme eti kakuibia?

Yaaani kabisa we ukutane na mtu humjui anakuomba umkope 20,000 na wewe unatoa? Labda kama ulitoa msaada sio mkopo maana sioni utapeli wake huyu jamaa bali ni "ombaomba" tu....
Mkuu ubinadamu wako ulikuponza!
But akimtokea mtu mwengine, na aongozane nae hadi ndani tu! Ukiwa na dharura mbona kadi yako inatolewa mda huo huo!
Nakumbuka ya kwangu ilimezwa posta pale (Dar) nilichofanya, niliingia ndani na kuwaonesha tiket! Mbona walinitolea hapo hapo!