Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

HIZI HABARI ZA KUKURUPUKA NI MBAYA SAANAA... VP MTOA UZI...USHAPATA DETAILS ZA ILIKUWAJE??? AU UMETUPIA TUU KISHA UKALA KONA?? INGEPENDEZA KAMA UNGERUDI HUMU KUKAMILISHA HABARI. Regards!

mkuu sijawahi kukurupuka,kwa taarifa nilizonazo ni kwamba binti huyu anaandaa tamasha jingne.Kuna jamaa wa Mwanza wamedesa hii idea!
 
minamfahamu. alichokifanya na anachofanya ni sahihi. sivyo kama ulivyoandika ndugu.
 
Nikweli... Stories huwa zinaripotiwa kwanamna ambayo ukweli unakuwa Mdogo, kutokana na mihemko ya aliyeandika na interest zake@meningitis
 
Back
Top Bottom