Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,228 May 24, 2014 Thread starter #21 TANMO said: Kulikuwa na haja gani ya kutupa hii taarifa kama Polisi ndo wanaopaswa kutujuza? Click to expand... Details nyingi zimetiwa kapuni kwa kuwa bado hali ni tete!tusiharibu ushahidi au tusiweke vitu vitakavyohatarisha maisha ya watu. Hutaki Acha!!
TANMO said: Kulikuwa na haja gani ya kutupa hii taarifa kama Polisi ndo wanaopaswa kutujuza? Click to expand... Details nyingi zimetiwa kapuni kwa kuwa bado hali ni tete!tusiharibu ushahidi au tusiweke vitu vitakavyohatarisha maisha ya watu. Hutaki Acha!!
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,633 Reaction score 5,612 May 24, 2014 #22 Huyu ana kila sifa ya kufungua kanisa. Ana upako wa kutosha!
hyusuph JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,655 Reaction score 693 May 24, 2014 #23 Hizi dini nyingine majangaa
A Albosignathus JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 4,898 Reaction score 1,051 May 24, 2014 #24 Ningefurahi sana angemwingiza mkenge rais ila sasa kawapiga walalahoi wenzake.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,228 May 24, 2014 Thread starter #25 Albosignathus said: Ningefurahi sana angemwingiza mkenge rais ila sasa kawapiga walalahoi wenzake. Click to expand... Ilikuwa ni almanusura lakini pia inawezekana ilkuwa ni gia ya kuwaingia sponsors wakubwa zaidi.
Albosignathus said: Ningefurahi sana angemwingiza mkenge rais ila sasa kawapiga walalahoi wenzake. Click to expand... Ilikuwa ni almanusura lakini pia inawezekana ilkuwa ni gia ya kuwaingia sponsors wakubwa zaidi.
M MWANAMKE MTANZANIA Member Joined Mar 4, 2014 Posts 38 Reaction score 9 May 24, 2014 #26 Namsifu. Shujaa huyu!!
N Nkwabi Jetta Member Joined Dec 16, 2012 Posts 38 Reaction score 6 May 24, 2014 #27 Aliona kuna fursa akaamua kuitumii
Gmox JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 319 Reaction score 478 May 24, 2014 #28 Uyo duu nnoma aiseee.....!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,825 Reaction score 94,986 May 24, 2014 #29 Sasa wametapeliwa nini kina mpoto? Huyo dada amefaidika na nini? Kama hela amepewa na wazamini ya nini kukimbia?
Sasa wametapeliwa nini kina mpoto? Huyo dada amefaidika na nini? Kama hela amepewa na wazamini ya nini kukimbia?
mabesela JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,294 Reaction score 680 May 24, 2014 #30 Ananifaa huyu kuwa wife mana anatumia bongo sawasawa aisee
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 510 May 24, 2014 #31 maisha lazima yaendelee
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 May 24, 2014 #32 Mwanamke akiwa tapeli haipendezi, lakini simlaumu amepata fursa ameitumia
S salasala JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 223 Reaction score 54 May 24, 2014 #33 hyusuph said: Hizi dini nyingine majangaa Click to expand... Si kama ile inayohukumu kifo ukiamua kuihama.
hyusuph said: Hizi dini nyingine majangaa Click to expand... Si kama ile inayohukumu kifo ukiamua kuihama.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,228 May 24, 2014 Thread starter #34 King Kong III said: Sasa wametapeliwa nini kina mpoto? Huyo dada amefaidika na nini? Kama hela amepewa na wazamini ya nini kukimbia? Click to expand... kina mpoto wameingia hasara ya kujisafirisha na kulipia malazi na msosi wao ndani ya jiji la Arusha.hakupewa hata advance!
King Kong III said: Sasa wametapeliwa nini kina mpoto? Huyo dada amefaidika na nini? Kama hela amepewa na wazamini ya nini kukimbia? Click to expand... kina mpoto wameingia hasara ya kujisafirisha na kulipia malazi na msosi wao ndani ya jiji la Arusha.hakupewa hata advance!
umatemate JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 755 Reaction score 140 May 24, 2014 #35 tapeli huwa afungwi
LUPITUKO JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 279 Reaction score 186 May 24, 2014 #36 Jackbauer said: Nenda polisi central Arusha for full details. Click to expand... Wewe nawe mbulula kweli. Mtu atoke aliko mpaka Arusha central police kuuliza jina. Kama habari ni ya kweli c mtaje jina tu tatizo nini.
Jackbauer said: Nenda polisi central Arusha for full details. Click to expand... Wewe nawe mbulula kweli. Mtu atoke aliko mpaka Arusha central police kuuliza jina. Kama habari ni ya kweli c mtaje jina tu tatizo nini.
M mandule Senior Member Joined Jan 19, 2014 Posts 125 Reaction score 20 May 24, 2014 #37 umatemate said: tapeli huwa afungwi Click to expand... Kama hakuingia nao mikakataba yoyote hao akina Mrisho mtoto sijui! Lakini kama kuna mkataba atalipa tu anachodaiwa...
umatemate said: tapeli huwa afungwi Click to expand... Kama hakuingia nao mikakataba yoyote hao akina Mrisho mtoto sijui! Lakini kama kuna mkataba atalipa tu anachodaiwa...
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,228 May 24, 2014 Thread starter #38 LUPITUKO said: Wewe nawe mbulula kweli. Mtu atoke aliko mpaka Arusha central police kuuliza jina. Kama habari ni ya kweli c mtaje jina tu tatizo nini. Click to expand... Too femanine!!
LUPITUKO said: Wewe nawe mbulula kweli. Mtu atoke aliko mpaka Arusha central police kuuliza jina. Kama habari ni ya kweli c mtaje jina tu tatizo nini. Click to expand... Too femanine!!
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,039 Reaction score 26,122 May 24, 2014 #39 Kweli mjini mipango! Mjomba kaingizwa mjini aisee.
Mudawote JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 11,572 Reaction score 16,047 May 24, 2014 #40 Atakuwa mchaga huyo