Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

basi ungesubiri hadi police watujuze we mwenyewe kiherehere chako unatuambia tuende police
kiherehere chako kipelke polisi!
Umezoea vya kunyonga vya kuchinja ni shida.Graet thinker ...think
 
"Ujasiriamali ni kitendo cha kuangalia fursa zilizopo na kuzitumia" Mdada kakamata fursa
 
Bado binti huyu hajafikishwa mahakamani,probably bado ushahidi haujakamilika
 
Anaitwa nani huyo dada tapeli?

Jina kake nani? Ajira kwa vijana wapi? maisha bora kwa kila mtanzania wapi? ahadi hewa kisiasa haya ndiyo matokeo.

Kulikuwa na haja gani ya kutupa hii taarifa kama Polisi ndo wanaopaswa kutujuza?

Wewe nawe mbulula kweli. Mtu atoke aliko mpaka Arusha central police kuuliza jina.
Kama habari ni ya kweli c mtaje jina tu tatizo nini.
wakuu hapo juu roho zenu zitakuwa kwaatu!

Atakuwa mchaga huyo
Ni mtoto wa kimasai
 
HIZI HABARI ZA KUKURUPUKA NI MBAYA SAANAA... VP MTOA UZI...USHAPATA DETAILS ZA ILIKUWAJE??? AU UMETUPIA TUU KISHA UKALA KONA?? INGEPENDEZA KAMA UNGERUDI HUMU KUKAMILISHA HABARI. Regards!
 
Back
Top Bottom