Tanzia

Tanzia

Thebony

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
92
Reaction score
2
Nilimpenda sana baba yangu ila ameniacha njia panda.baba ameniacha.
 
pole sana mkuu, Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu
 
pole sana kiongozi,Mungu atakupa nguvu ya uvumilivu!!
 
so saaad... Kudra za mungu kaka ... Mungu akutie nguvu bradha
 
Thebony

Pole sana Best! Ni wakati mgumu sana lakini jipe moyo kwani hata hili litapita!
Baba yetu MUNGU ampe pumziko la milele!

Aamen!
 
Last edited by a moderator:
Poleni Thebony and family.
Mungu na awe mfariji wenu.
 
Last edited by a moderator:
Mungu akupe moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu sana kwako.

RIP mzazi wetu na wazazi wote walotangulia mbele za haki
 
Pole sana best! Bwana alitoa bwana ametwaa, jina la BWANA lihimidiwe.
 
Sina mengi zaidi ya kusema pole sana ndugu.
 
Pole mkuu. Ni safari yetu sote. Nani amtangulie mwenzie ni siri ya Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom