Tanzia

Tanzia

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
682
Reaction score
323
Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia,
Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla!
Rest in Peace brother Mechama
 
Poleni sana wafiwa njia yetu wote.
 
R.I.P diwani
umetangulia,tupo nyuma twaja kwani kila nafsi itaonja umauti
 
Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia,
Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla!
Rest in Peace brother Mechama

RIP Diwani
 
RIP Mhe. Diwani
 
leo yake kesho yetu
polen wafiwa na wana ccm wote
 
Umetangulia diwani,nasi waja wake Mola twafuata mwanga wa milele ukuangazie,upumzike kwa amani.
 
Inna li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun.

Poleni wote.
 
Mungu akupe stahili yako kwa yoyote ulioyowafanyia watu wa kata yako na ccm yako.
 
Poleni wafiwa. Diwani apumzishwe mahali pema peponi, Amina
 
Back
Top Bottom