Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 427
R.I.P Kiongozi wa raia.
R.i.p m4c on the way
Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia,
Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla!
Rest in Peace brother Mechama
leo yake kesho yetu
polen wafiwa na wana ccm wote
Ndio mkuu,Hii habari kweli ilistahili kuwa katika ukurasa huu?
Majonzi!Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia,