Ndugu, Mbona hao waliomiletea hizo propaganda na uongo, hadi leo wameshindwa kuiendesha NSSF na linadidimia. Wakati wa Dau shirika linangara na linaleta faida, leo linatia hasara.Dau huyu huyu aliefuja miradi kibao ya nssf kama kule kigamboni walinunua viwanja kwa mamilioni ya fedha wakati thamani halisi haifiki 1M
Tena wa nchi 7Hizi ndio fitna alizokataa Mkapa, na akamueleweshaa Magufuli ambaye walishaanza kumtia fitna ndio maana hayuko jela bali ni mwakilishi wa Rais
You are just sick, poleHuyu Dau kama rafiki yake MM hawawezi kuandaa andiko bila kuweka ajenda zao za Dini. Hizo OIC na mahakama za kadhi zibaki huko huko vichwani mwenu.
Uislam unatuhimiza kutomsema marehemu kwa mabaya, tuseme mazuri yake tuNaona ka Udini kametamalaki,na ajabu Mzee Mkaa hapa alikuwa mkatoliki.
Nakukumbusha tu marehemu asemwi kwa mabaya hata kama yanafahamika! Uislam umeagiza hivyoAndiko zuri japo lina Element za udini. Anyway, Wakristo wengi huwa hatuna udini na hatuwabagui watu kwa misingi ya dini yao.
Hakuna mwenye ubavu wa kumfunga Dr Dau kama kulikosekana wa kumfunga Kangi ndio atapatikana wa kumfunga Dau kweli?Na bila Mkapa, Dr Dau angekuwa jela sasa hivi
Mkapa alivyosikia mipango ya Dau kutaka 'kushughulikiwa' kama kawaida akatoa lile neno analopenda akimwambia bwana mkubwa usisikilize WAPUMBAVU
Mkapa aliempenda Dau kwa utendaji wake wa kazi kiasi kurecommend awe Waziri katika awamu ya 4
Una uhakika walioajiriwa kipindi cha Dau walikuwa waislam tupu? Nikikupa majina ya watu walioajiriwa kipindi cha Dau ni wakristo utasemaje?Enzi za Dau,ili upate kazi nssf,kwanza uwe wa imani yake.....mengine yanafuata.
Dr Dau akiwa rais, Kipaumbele chake Cha kwanza itakuwa kuifanya Tanzania iwe nchi ya Kiislam. Jamaa ni mdini Sana. Haamini katika secular state.
Huyu mzee yaani andiko lake ni udini mtupu; kila kitu udini tu!
Wakijazana wakristo haina shida ila wakiwa waislam ni udini!! Mna mambo nyie wekeni idadi ya wakurugenzi toka hii nchi imeanza kujitawala tuone ni lini wakurugenzi waislam walikuwa wengitulifika pabaya...yule namba1 alitumika vby sn uku gasia (utumish wa nch nzma) wkuruganz kibao walijazn wnyew haohao. ubaguz k2 kbaya sn.
Huwa najiuliza sn uyu ni dokta wa binadam,wanyama au falsafa?au ni jamii ya akina remmy?
Lasaba B anapotaka ufafanuzi wa DrHuwa najiuliza sn uyu ni dokta wa binadam,wanyama au falsafa?au ni jamii ya akina remmy?
Hizo percentage ziliangaliwa kuanzia lini?..labda kabla hajaingia nssf ratio ilikua 90%waislam/wakristu Kwa 10%wakristu/waislamu..kama kulikua na influx kubwa ya upande mmoja tuu, lazima wadau wahoji unless kama ndio ilikua Sera ya shirika na kubwa la muhimu ni kwamba staff wote walikua ni watanzania au wageni wenye sifa za ziada kulisaidia shirika na Taifa Kwa ujumla.Magu aliomba list ya Staff wote wa NSSF wote na Management yote ili ajiridhishe udini wa Dau…
Hao Waislam wote waliopo NSSF hawakufikia hata 40%
Akatazama kwny Management ya NSSF akakuta hawajafika 50% akaamini Maneno ya Mzee Mkapa kuwa ukiwasikiliza sana Wapumbavu utavuruga Nchi
Media zikajazana Kisutu kumsubiri Dr kumbe mwenzao anapokea Uteuzi Ikulu!
Hizo percentage ziliangaliwa kuanzia lini?..labda kabla hajaingia nssf ratio ilikua 90%waislam/wakristu Kwa 10%wakristu/waislamu..kama kulikua na influx kubwa ya upande mmoja tuu, lazima wadau wahoji unless kama ndio ilikua Sera ya shirika na kubwa la muhimu ni kwamba staff wote walikua ni watanzania au wageni wenye sifa za ziada kulisaidia shirika na Taifa Kwa ujumla.