Mungu amlaze mahala pema peponi
Mimi kama mwana kristo sifurahii mtu kufa watakaofurahia ni ccm kutokana na maneno ya lukuvi !
Bwana hakawii kuitimiza ahadi kama wengine wanavyodhani, yeye huvumilia maana hapendi mtu yeyote apotee bali anapenda watu wote watubu. 2 petro 3:9
Eee mwenyezi mungu tufishe tukiwa ni mashahidi wa dini yako kama ilivyokuwa kwa mashekh wetu hawa:ILUNGA,ROGO,MAKBUR na wengine wengi.na utuepushe kuwa mashekh wanafiki kama mashekh wasakatonge.
Shetani unamjua wewe? Hujui kuwa yule aliyewadanganya mpaka mnaabudu binadamu aliyedhalilishwa kwa kupigwa misumali na kuveshwa nepi ndio unatakiwa kumlaani? Wewe jini nini?
wagala ni wehu sana. sasa hapo muujiza gani ikiwa mtu amefariki kifo cha kawaida akitokea kwenye matibabu India. hakuna muujiza hapo kwani kitu mtu anaonja kifo.