Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
I dare to say admins have absolutely gone powerless to moderate this thread...
 


vilevile hata shekh ilunga anaejua uongofu wake au upotofu wake ni allah azza wajallah.
Sasa inakuwaje wewe unakuwa wa kwanza kutoa hukumu juu yake hali ya kuwa yeye amekufa akiwa anashuhudia shahada mbili .
Nahofia kuwa bado haujaujua uislam wako sawasawa or you try to play double standard so as to comfuse our tention .
Mtume muhammad (saw)amekataza kumsema kwa ubaya muislam bali kumtakia rehema.
May be you're doyuuth a bit.
 
waislamu wote wangekuwa sawa na wewe nchi hii ingekuwa mbali kiuchumi, kijeshi, kijamii na kisiasa, lakini kwa vile mashehe wapenda ubwabwa na wali wa maulidi ni wengi ndiyo maana tumefikia hapa tulipo!

kweli aise, jamaa kaongea point sana
Kaweka uislam pembeni
 
Sawa wewe genius unayemwamini aliyetabiriwa utume na mganga wa kienyeji. ALLAH anayeruhusu binadamu kumuua binadamu mwenzake huwezi kumfananisha na MUNGU WETU WA UPENDO

Sada yule msela mzungu alievishea nepi na kuwambwa msalabani utamwitaje mungu banah????

Hiyo akili au matope...
 

Mbona waislam wa Nigeria kaskazini ni maskini?, Mbona waislam wa Mombasa ni maskini, Mbona mwarabu ameachwa nyuma na Wa Asia wenzake kama akina China, Japan kitechnolojia?, Mbona mparestina kaachwa kimaendeleo na Mwisrael?,mbona visiwa vya Comoro hoi?,au huko kote ni Nyerere
 
I dare to say admins have absolutely gone powerless to moderate this thread...

Teh teh teh!

Mgalatia karusha kitaulo!

Hapa hakuna cha moderator wala nini!
Mpaka tuwatahiri watu bila ganzi!
 
Mkuu Allah akuzidishie Inshallah.
 

Na mbona Tanzania ni maskini na iko chini ya mfumo k......hili he
 
Your wishes already granted as they have failed to do so at its infancy. .

haya nshakusikia sema jingine
Watu wanamkashifu mwanazuoni Ilunga wewe unataka thread ifungwe....angetukanwa yule sanamu wenu ungesema nini? speechless.
 
Teh teh teh!

Mgalatia karusha kitaulo!

Hapa hakuna cha moderator wala nini!
Mpaka tuwatahiri watu bila ganzi!

hahaha mods nao wanasoma comments that's why bado uko hai....hawa leo tunao.
 
Teh teh teh!

Mgalatia karusha kitaulo!

Hapa hakuna cha moderator wala nini!
Mpaka tuwatahiri watu bila ganzi!

Islamic vs use of profanities ...I dont think they coexist. .you either be one...you have chosen the later..
 
Nyie mtu mwanye chuki ndio mnamuheshimu. Nadhani sasa inabidi mumwambie ALLAH aache kuumba makafir, ALLAH kuendelea kuumba makafir mpaka leo ni sawa na kujipinga mwenyewe. Alitakiwa mmabaki nyie wema

Nani mwenye kuweza kumuambia Allah alipangalo, hapo unathibitisha ukafiri wako. Ni muhali kwa kiumbe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…