Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Kikwete we noma sana ni bingwa wa inteligensia na mbinu za kimedani.Kenya mna cha kujifunza kutoka kwa Baba Mwanaasha.
 
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki
 
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki

1: Dawa ya kafiri ni bunduki.
2: Akiuawa shehe,tafuteni vi
askofu na vi padri viwili
vitatu mviue.
3: Kafiri si wa hadh sawa na
muislamu.
Akafie mbali mchochezi
mkubwa.
 
1: Dawa ya kafiri ni bunduki.
2: Akiuawa shehe,tafuteni vi
askofu na vi padri viwili
vitatu mviue.
3: Kafiri si wa hadh sawa na
muislamu.
Akafie mbali mchochezi
mkubwa.

Ok sawa
 
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki

Kwa kweli Sheikh Ilunga alikuwa ni mtu mwema na mpenda amani.

Alihubiri upendo na alitaka binadamu tupendane bila ya kujali tofauti zetu za kidini, kiitikadi, kiuchumi na kitamaduni.

Mungu amlaze mahali pema peponi.

Umefurahi?

Nyeusi ni nyeusi, haiwezi kuwa samawati.
 
Huyu shekh alikuwa anatafutwa na serikali kwa makosa ya uchochezi, kuna CD zilikuwa zinahamasisha waislamu wawaue mapadree, alikuwa akizungmzia mauaji ya kule Mombasa Kenya- akiwashangaa waislamu kuandamana badala ya kuwaua wakristo. Mungu amsamehe.

Selikali haiwezi muua huyu jamaa. Kafa tuu kikawaida kama ili maandiko yatimie.
Hii inafaa kuingizwa kwenye kwenye watu waliomkashifu Mungu na kuadhibiwa vikali. Unahubiri wenzio wauwawe umewaumba wewe!! Umezaliwa na mwanamke halafu unataka wenzio wauawe!! Wewe nani?
 
Mkuu hayo ni mawazo yangu, kukebehi mfu ni nonsense, sio suala la kufurahi hata kdg. Hivi sisi tunamkosea mangapi Mungu?
 
Ni pigo kubwa kwetu waislam ulijitaidi sana kutuamsha tulipolala inshallah tutayafanyia kazi mawaidha yako na ipo siku tutajikomboa kutoka kwenye mfumo kristo. Inalillah wainalilah rajiun
 
Mkuu hayo ni mawazo yangu, kukebehi mfu ni nonsense, sio suala la kufurahi hata kdg. Hivi sisi tunamkosea mangapi Mungu?

Sote tunafahamu hakuna aliyekamilika hapa duniani lakini hii siyo sababu ya kuhubiri watu wauane.
 
Ni pigo kubwa kwetu waislam ulijitaidi sana kutuamsha tulipolala inshallah tutayafanyia kazi mawaidha yako na ipo siku tutajikomboa kutoka kwenye mfumo kristo. Inalillah wainalilah rajiun

Namna pekee ya kujikomboa kwenye dunia ya leo ni kushikilia elimu dunia.
 
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki

Jerry umeshakiri humjui huyu bwana,iache historia iwekwe sawa. Kuna ya kujifunza kwa watu wote,wa imani zote kupitia kupitia kifo na aliyoyahubiri huyu bwana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…