Tanzia UDSM rafiki kipenzi ametutoka

Tanzia UDSM rafiki kipenzi ametutoka

hakika tunatembea tukiwa ni marehemu..

R.I.P
 
Mungu awafariji wafiwa!! So sad!!
 
Hivi siku hizi HALL 1 pia wanakaa wasichana hapo UDSM? Enzi hizo wasichana /wanawake walikuwa wanakaa HALL3 basi!!!!R.I.P. mtoto wa Tanaganyika!
 
Daa kifo tupo nacho
R.I.P mdada mwanachuo
 
Rest in peace mdada mzuri,Mungu awafariji wafiwa wote.
 
Mungu amlaze pema....dah nowadays vijana tunakwisha wanabaki wazee..
 
Sikuhizi Mzazi akikuzaa, anakusomesha, anakutafutia kazi, bado anakuzika mwenyewe...yeye anabaki dah...Eeeeh Mola tusaidie
 
Hivi siku hizi HALL 1 pia wanakaa wasichana hapo UDSM? Enzi hizo wasichana /wanawake walikuwa wanakaa HALL3 basi!!!!R.I.P. mtoto wa Tanaganyika!
Wanakaa bado tena nadhani pale hall one wasichana ndo wengi maana lile gorofa refu ndo wanakaa wanaume.. mengine manne yanayozunguka ni wasichana...... "the best hall of residence in UDSM, i lived there 3 years ago"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom