Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
U r welcome my dear..............What a beautiful sympathy card! Thanx @FP
umeshafika msibani? kama bado usafiri salama
U r welcome my dear..............What a beautiful sympathy card! Thanx @FP
Unaogopa kufumaniwa msibani,
tutakutana huko huko na Madameb.
Pole mwaya my x wangu.
Unaogopa kufumaniwa msibani,
tutakutana huko huko na Madameb.
Pole mwaya my x wangu.
u r welcome, utujulishe ukishafika......I am almost there @FP, thanx for caring.
Wakubwa na wadogo wake kwa waume, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa nimefiwa na mjomba wangu aitwaye DANIEL. Alifariki ghafla jana usiku na alikuwa amehamia na kuweka makazi sehemu za Gallapo Babati mkoani Manyara. Mchana wa leo nitaenda kule.