Tanzia: Sister Octavia, Mama Mkuu wa Shirika, Kifungilo na dereva Aminiel wafariki dunia kwenye ajali Same

Same kuna upepo mkali sana.

Gari iki over speed inahama njia. Ni juzi tu polisi Fulani, Mbise, alipata ajali hapo, na kuna matukio sana ya ajali.

Kama alama hamna itabidi iwekwe, na ikiwekwa iheshimiwe na madereva na wananchi wasiiondoe.
Pale nakumbuka nilikuwa napita mwaka jana kama saa 4 usiku,wakati nina overtake lorry niko katikati lilitimka vumbi kutokea upande wa kushoto likaziba kioo chote nikawa sioni mbele,nilichofanya ni kutumia ujasiri wa kusonga mbele mpaka nikalipita,nilipopita tu lile vumbi likakata,kwakweli kuanzia pale ilibidi nipunguze speed kwani kuna wakati mpaka gari inakuwa kama inataka kutoka barabarani...
 
Pale nakumbuka nilikuwa napita mwaka jana kama saa 4 usiku,wakati nina overtake lorry niko katikati lilitimka vumbi kutokea upande wa kushota likaziba kioo chote nikawa sioni mbele,nilichofanya ni kutumia ujasiri wa kusonga mbele mpaka nikalipita,nilipopita tu lile vumbi likakata,kwakweli kuanzia pale ilibidi nipunguze speed kwani kuna wakati mpaka gari inakuwa kama inataka kutoka barabarani...
Pole sana. Same ni pabaya kweli. Ila huwezi kujua kwa haraka maana barabara ni nzuri na inavutia.
Serikali iangalie namna ya kuokoa maisha ya watu kwa kufanya maamuzi sahihi pale Same.
Cc NAKWEDE
 
Poleni sana ila mungu wenu mkatili kweli anachukuwa watu kwaajali ya maumivu aisee
 
Pale same papo tambarare..but gari nyingi sana huwa zinakula mizinga pale..sijui kuna pepo gani
 
Poleni sana wana familia ya kifungilo. Raha ya milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani
 
Sista kafariki hajaacha mume Wala mtoto rambi rambi tuzipeleke wapi?
 
Hizi lugha za jangwani zinatamalaki sana siku hizi sheria itungwe kuzidhibit.

Rest in Peace sister and driver

Hiyo lugha ndio utakayoulizwa maswali kaburini siku utakapozikwa. Kule hakuna cha kizungu/kiswahili wala nini. hivyo lugha itakayotumika ni allughatil-arabiyyah/lugha ya kiarabu.


Siku hiyo kutakuwa na kilio na kusaga meno.hakuna cha john wala debora kuja kukusaidia.
 
Ha ha ha... Ndg Mpendwa!! Mr.John Stefan! Bingwa wetu hapa JF!! Sijui nikuite jina lipi ? Ndiyo litakufaa !!

FYI.. Lugha hii ya Jangwani ndiyo inayotunza na kuihimili Matamshi unayoandika humu!! Na ndiyo imerahisisha wewe kutamka maneno yakaeleweka.. Kwa ziada Lugha ya kiswaili imezaliwa na kulelewa kwa mchango mkubwa wa Lugha Mama ambayo ni KIARABU..!! Ya huko Jangwani unapo kusudia..

Sasa wengi tutafurahi uende ukatunge hiyo "Sheria ya kudhibiti" japo hii Mali NI msemo wa Jangwani!!
Tena uanze na kulifuta jina la Dar-Es-Salaam na majina ya mikoa 17 yenye kutamalaki Uarabu!!

Samahani wandugu wengine..
Jifunze kujenga na siyo kubomoa Jon Stephano
kiswahili ni kibantu. full stop
 
wameitwa na mwenyezi Mungu.

kwani huyo Mungu hawezi kukuita in peace and quite usingizini bila extreme violence? Lazima akuite kwa kuchomwa na mabati shingoni, tumboni, ukatike mifupa, ukifika huko kwake your are totally eff'd up, hutambuliki, uko nyakanyaka, Mungu mwenyewe hakutambui, Mungu gani huyo hana huruma?

RIP
 
Hiyo lugha ndio utakayoulizwa maswali kaburini siku utakapozikwa. Kule hakuna cha kizungu/kiswahili wala nini. hivyo lugha itakayotumika ni allughatil-arabiyyah/lugha ya kiarabu.


Siku hiyo kutakuwa na kilio na kusaga meno.hakuna cha john wala debora kuja kukusaidia.
Hilo fundisho siyo sahihi hakuna maswali yoyote ukifa utambuzi, fahamu na uelewa wako unakoma huwezi kujua lolote mpk wakati wa ufufuo utakapofika

Hizo story za kuulizwa maswali sijui kupigwa marungu sijui kung'atwa na ng'e ni hekaya za abunuasi zisizo na ukweli wafu hawajui neno lolote

MHU. :9:5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

MHU. :9:6
Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.
 
Back
Top Bottom