kwahyo Mwanaume hajashiriki kwenye kuzaliwa mwanadamu?"Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke,siku zake si nyingi nazo zimejaa taabu"Wapumzike kwa amani.
Amehusika,hilo neno nime quote bible,nadhani wamesema hivyo kwa vile mwanamke anabeba mimba na ndo anazaa.Anyway tusiharibu uzi mshana jr.kwahyo Mwanaume hajashiriki kwenye kuzaliwa mwanadamu?
Ha ha ha... Ndg Mpendwa!! Mr.John Stefan! Bingwa wetu hapa JF!! Sijui nikuite jina lipi ? Ndiyo litakufaa !!Hizi lugha za jangwani zinatamalaki sana siku sheria itungwe kuzidhibit.
Rest in Peace sister and driver
Kwa hili hatuna uhakika, ingetosha Mshana angesema wamefariki!!Kama wameitwa na mwenyezi Mungu hilo ni jambo jema, amen RIP watumishi wa Mungu
Wapumzike kwa amani
Aiseeee !!Sister Octavia utakwenda kumwambia nini muumba wako kwa kumkiuka agizo lake alilolitoa kwa mwanaume Adam na mwanamke Eva kuwa enendeni mkaongezeke muijaze dunia?
"WAMEPATA AJALI MAENEO YA SAME NA WAMEITWA NA MWENYEZI MUNGU."
Mhh
Halafu pale Same si pamenyooka sana!au ni upepo mkali na mavumbi,maana ule upepo wa maeneo yale sio wa kawaida,Pole kwa wafiwa..
Hizi lugha za jangwani zinatamalaki sana siku hizi sheria itungwe kuzidhibit.
Rest in Peace sister and driver