Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Mtoto wa kwanza wa Makamu nwenyekiti wa CCM Philip Mangula ,Peter Mangula amefariki Dunia leo asubuhi.

Ntaendelea kuwapa update zaidi

R.I.P Peter Mangula, siso sote mavumbi.
 
This is so sad! Mungu ampe faraja Ndugu Mangula,kwa kweli huu ni wakati mgumu sana kwake na familia yake yote... May The Almighty God comfort you senior brother ... Lets join hands to comfort our brother regardless of our ideologies ...
 
Duh! Inahuzunisha kweli kweli. Huyu Mzee kama Ayubu, alifiwa na mke miaka michache iliyopita; akafiwa na mwanae hivi majuzi; na leo kafiwa na mwanae mwingine bila kusahau madhila aliyoyapata ndani ya chama chake baada ya 2005. Hopefully, Mungu atamwinua atakuja kuwa mtu mkuu katika nchi hii. Poleni familia.
 
Mungu wangu, ni kitu gani hiki tena,
Naona kama nimechanganyikiwa.

R.I.P. Peter.
 
Huyu mzee huu mwaka hatausahau. Nini kimemuua huyo chalii?

RIP Pita.
 
Pole sana Mzee Mangula.
Nakumbuka alifiwa na binti kwa ajali ya gari hivi karibuni.
 
Pole Mzee Mangula au mambo ya nyota ya kisiasa hiyo? Maana vyeo vina mambo mengi sana.
 
Mzee kapata pigo mwaka huu, pole ndo utu uzima huo.
 
Again? Hii familia itakuwa na wakati mgumu sana.
RIP Peter.
 
Aisee, so sad...Mungu na awatie nguvu wana familia
 
Back
Top Bottom