Kwa wakazi wa Kigamboni nadhani mtakua mmesikia mwanafunzi aliiyejirusha leo toka kwenye panton. Mida ya saa 11 jioni mpaka sasa hivi hatujaona mwili wake. Alikua my best friend.
Pole sana mkuu pamoja na wote walioguswa na msiba huu. Jipe moyo mkuu, tunawaombea kwa Mungu Awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!
Nimesikitika sana mtu kujirusha kwenye pantoon!!! Kweli inasikitisha sana unaweza kukuta chanzo ni cha kipuuzi kabisa kama mapenzi, madeni au msongo wa mawazo ambao ungeweza kupata suluhu.
kwa wakazi wa Kigamboni nadhan mtakua mmesikia mwanafunzi aliiyejirusha leo toka kwenye panton. Mida ya saa 11 jioni mpaka sasa hivi.hatujaona mwili wake alikua my best friend. Usiku mwema wadau ila inauma
Kwetu cc huwa hatukubali kirahaisi,Lazma kuna Mkono wa Ntu.a.k.a KATUME.Cyo hivi hivi yaan mtu mbishane then apotee?Mwee!am jst saying nt serious wakuu,Al in al R.I.P Our beloved one.Kazi ya Allah haina makosa.
Someni mabandiko ya hapo juu....it was real stupid, dying while playing the super zero hero!
Poleni wakuu kwa msiba.....Mungu wa rehema amrehemu, apumzike kwa amani.
Nimesikitika sana mtu kujirusha kwenye pantoon!!! Kweli inasikitisha sana unaweza kukuta chanzo ni cha kipuuzi kabisa kama mapenzi, madeni au msongo wa mawazo ambao ungeweza kupata suluhu.
Pole sana ndugu na wote tulioguswa na jambo hili, hakika hali imekuwa ngumu na wengine kukata tamaa kwani mbele giza nyuma giza..... hata hivyo tunapaswa kusonga mbele kwa imani tukimtegemea muumba