Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

Pole sana kwa kuondokewa na mzazi wako.

...................au huyo baba yako ni ccm?

Kumbe na wewe unakuaga na dharau ee?
Dah..
Wapi ulisikia Mtu anaiita CCM "Baba mzazi"?
Kumbe bibie bado hujakua ee?
 
sio tunapita ndio mwisho upite uende wapi.

Binadam ana maisha sehem 4, kwanza maisha tumbon mwa mama yake, pili ni maisha ya dunia, tatu ni maisha ya kaburi, nne ni maisha baada ya hukumu siku ya mwisho. Ukisema Dunian tunapta ni sawa kwa sababu ni lazima kila mwanadamu apitie Maisha hayo yote.
 
Pole sana mpendwa, Mungu wa mbinguni akupe faraja ya kweli na tumaini liletalo amani ya moyo. R.I.P baba yetu, umetangulia sisi tunafuata.
 
Back
Top Bottom