Tanzia: Mzee Peter Kisumo afariki Dunia

lo jaman juzi tu kasherekea miaka 80 ya kuzaliwa lo Mungu ampumzishe mzee wetu
 

Mkuu wewe utakuwa mtu wa hadhi yake maana kwa sisi tuliowai kuwa karibu yake Hamna mtu aliyekuwa na makidai kama Kisumo
 
R.I.P Mzee peter Kisumo
(Huyu mzee alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya CCM )

Hapa amzee Peter Kisumo alikuwa hosp
na profesa Mwandosya huko India.

 
Last edited by a moderator:
R.I.P MZEE KISUMO baba mlezi wa Jk na Lowassa kisiasa.

Jk lowassa uso kwa macho msibani,can't wait to c the reaction za marafiki hawa wa zamani.

kwahiyo hapo msibani watkutana
MKATAJI (Vasco d gama)
MKATWAJI (Babu mamvi)
MEMBA WA KITENGO (Ben, Malecela, warioba, karume, etc).
WAPAMBE ( Kingunge, mgeja, etc..)
Sijui itakuwaje hapo...?
 
Pole zetu kwa familia yake! RIP Mzee Peter Kisumo!!
 
Mzee alikuwa mkal na mkwel sana. Ana mwanae bangi mtu anaitwa fred kwenye msiba wa mkewe kikwete alitaka kumpa fred udc mzee akachomoa na kumwambi kikwete kuliko kumpa fred udc heri ampe mathewa (kichaa maarufu pale usang) ila Pale juu ngujin usang home kwakwe ni pa finyu sana labda msiba ufanyikie pale uwanja wa uvtc
kwahiyo hapo msibani watkutana
MKATAJI (Vasco d gama)
MKATWAJI (Babu mamvi)
MEMBA WA KITENGO (Ben, Malecela, warioba, karume, etc).
WAPAMBE ( Kingunge, mgeja, etc..)
Sijui itakuwaje hapo...?
 
Hivi leo mazishi yalikuaje maana akina JK,ENL,MKAPA May be walikwepo huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…