TANZIA Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo, likiwemo Soko la Kariakoo afariki dunia

Alikua anaishi Mbezi mwisho hapa stend mpya, ng'ambo ya Barabara pale kwenye fremu za maduka, ndipo kwa Bedda Amury, mara nyingi alikua anakaa pale anapata kilaji mzee wawatu taratiiibu. Ila amefia huko sinza kwenye nyumba yake nyingine.
Hapana, taarifa yako juu ya kufariki akiwa Sinza si za kweli. Mzee Beda Jonathan Amuli amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
 
RIP,tena miaka hiyo walikuwa wanachora kwa pencil,hapakuwa na sofware za siku hizi za kuchora kwa computer na kwa muda mmfupu,imagine mtu anachora ramani ya soko kama kariakoo kwa mkono na rula,hoteli kama kilimanjaro kwa penseli,kwa kweli ni kipaji cha aina yake.Mwenye detail zaidi za huyu Icon wa architecture atujuze,mmesema alikuwa kampuni ya Kiisrael?ya wapi ?kafa ana umri gani? kafia wapi ?kazi zake za mwisho ni zipi? etc etc
Mkuu ni kweli, huyu Beda Amuli alikuwa ICON ya ujenzi wa nyumba na Architecture nchini.
Bahati mbaya wala hakuenziwa kwa umahiri wake.
Aliajiriwa kwa miaka mitano na kampuni ya kiisraeli kiitwa ZEVET Achitects, kabla ya kuanzisha kampuniyake ya BJ Amuli Architects.
Kwa sisi tuliosoma uhandisi miaka mingi kidogo, huyu alikuwa akifahamika sana na wanafunzi wa ujenzi.
Bahati mbaya vijana wa sasa wengi hawamjui.
Alimaliza degree yake ya Archtecture mwaka 1964, Israel.
Kwa hiyo unaweza kukisia umri wake.
 
Alikua anaishi Mbezi mwisho hapa stend mpya, ng'ambo ya Barabara pale kwenye fremu za maduka, ndipo kwa Bedda Amury, mara nyingi alikua anakaa pale anapata kilaji mzee wawatu taratiiibu. Ila amefia huko sinza kwenye nyumba yake nyingine.
Jina sahihi la marehemu ni "Beda Jonathan Amuli".
 
Ni yupi kati ya hao wawili?

Je alikuwa anaishi wapi?
Msipende kusifia merehemu,sifia mtu akiwa hai!

Utaona asaivi Mtu kama TUNDU LISSU ni mwanasheria anayesaidia sana utumgwaji wa sheria bungeni na kukosekana kwake mmeona Masheria ya Kodi na Miamala ya simu benki,mara sjui ya ubakaji wanafunzi hayaeleweki,angekuwepo bungeni je?

Sasa mnasubiri akienda zake Mbinguni ndo watu ooh,tuache siasa ,sijui u ccm huyu jamaa alikuwa hazina,alisaidia sana,oooh spika analia kumbe u afiki tu,Tambua na mpe mtu credit zake akiwa hai.
Unategemea robot za Lumumba zikuelewe?
 
Mimi hilo jina ndo kwanza kulisikia. Mtu anapofariki mnaanza kumtambulisha vitu vizuri alivyofanya. Nadhani ni vizuri mtu kutangaziwa vitu vyake vizuri ambavyo amefanya akiwa bado hai ili wengi tumfahamu kabla, sio amefariki ndo mnaanza kututangazia sifa zake, je kama mngemtangaza kabla tungehitaji taaluma yake?
Kwa Sisis wa Zamzni tunamfahamu saana kwani ndio watu/ wasomi wa mwanzo waliopractice ki-private. iLA NATUARLLY ALIKUWA MTU HUMBLE SANA ASIYEPENDAA MEDIA NADHANI NDIO MAANA alikuwa hajulikani saaana wengine tunaijua moaka nyimba yake Mororgoror Road- maeneo ya Kibaha.
All in all ni vema historia engefahamika ( kwa kasi hii) kwa muda mrufu. Kwa tunaomfahamu likitazwa tu Soko La Kariakoo is equal to Beda Amuli ( R.I.P). Na kumbe kuna mengi aliyoyafanya pamoja na Kilimanjaro hotel labda tu nbahati mbya alikuwa chini ya Kampuni. Aidha alihamasisha watu wa kwao wasome na kuanzasha Trust Fund.
 
Ndio yupi kati ya hao wawili? Huyo ndio alitakiwa apewe kazi ta kuchora terminal III ya airport. Sio tule tuvichuguu tulitojengwa pale...

Terminal three inatia aibu sana, unaweza kifukiri ni ma godown za Azam pale opposite na TAZARA!!

Tazara Railway station pamoja na kujengwa mwanzoni mwa miaka ya sabini bado ina mvuto zaidi ya terminal three!
 
Kingine nachofahamu Masasi ana nyumba nyingi zilizojengwa kama kota kwenye eneo moja. Ni nyumba zenye muenekano mzuri hata kwa wakati huu japo zimejengwa miaka ya 90 ,halafu alikuwa anamiliki Range Rover na ndilo lilikuwa pekee kule Masasi, pia alikuwa mtu wa karibu na Rais Mstaafu Mkapa Mwisho alikuwa Msomi ambaye hakujipendekeza kwa Viongozi ili apewe madaraka japo alikuwa na ukaribu nao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom