Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.
Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.
Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.