Tanzia: MwanaJF mwenzetu afariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Muhimbili alikokuwa akitibiwa

Status
Not open for further replies.
Mm naamin hapa dar kuna mahal alikuwa anaishi ...mleta mada tuambie alikuwa anaishi wapi, maeneo gan hapa Dar? Tuambie username hapa JF,kwa nn rambi rambi kwa baba na si kwa mke na watoto 2,kwa nn namba ya halotel tupekeake. Kwa nn hata picha ya marehm tu hakuna?
Tushawish bas ....Binafc nmekuona ni TAPELI TU. nitaomba msamaha na kutengua kauli utakapo nipa majib na viambatanish sahh.
 
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, Ndugu Onesmo Simon aliekuwa akipatiwa matibabu hospitali kuu ya taifa Muhimbili.

Ndugu Onesmo alikua akisumbuliwa na tatizo la Homa ya Ini tangu mwezi wa pili mwaka huu.

Kwa kipindi chote hicho marehemu alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya muhimbili, ila hali yake ilizidi kudhoofu siku baada ya siku hadi mauti ilipomkuta usiku wa saa 9 kuamkia leo.

Marehemu ameacha mke na watoto wawili(2).
Msiba utakuwa nyumbani kwa wazazi wake Korogwe. Kutokana na gharama za hapa hospitali na kusafirisha mwili mpaka kijijini kwao Korongwe.

Hivyo unaombwa ukiwa kama member wa Jukwaa hili unaweza tuma Salamu za Pole na Rambi Rambi kwa Baba Mzazi, Halotel 0622330713 Simon Philipo

Mbele yake, nyuma yetu.
R.I.P Onesmo!
 
Humu tunajulikana zaidi kwa Avatar, tujulishe tafadhari.
 
Kumtoa hela kiulaini kirahisrahis Mwanaume kama mimi inabidi ujasiri mkubwa navyojituma kufanya kazi kwa bidii na weledi unichomolee my hard earned krone kizembe lazima mkono utembee.

Anyways kama ni kweli R. I. p

Haha, Homa ya Ini ikuchukue kipindi kirefu hivo?? Hapo umebugi sanaa, yaani ukijulikana una homa ya Ini huchukui wiki 1 unusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom