Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Natoa pole kwa wote walioguswa na msiba kwa namna moja ama nyingine.
Pongezi sana kwa WanaJF wote walioshiriki msiba na mazishi ya mwenzetu.
 
Poa mtu wangu, wala usi mind kwani sote tu njia moja kama vipi hicho kifo kipotezee kwani kila nafsi itaonja tu. R.I.P Wasimoni, see U there!
 
Kiongozi tuko pamoja sn.
Sisi pia tumefurahi sn kukuona, maama familia yetu imekua.
Uendelee na mayo wa ukarim mkuu.
 
Poa mtu wangu, wala usi mind kwani sote tu njia moja kama vipi hicho kifo kipotezee kwani kila nafsi itaonja tu. R.I.P Wasimoni, see U there!
Sasa akipotezeeje kifo mwenzio?
Una maujanja yoyote ya kukipotezea kifo unipe n mimi, maana kama kuna mtu anaiogopa hiyo kitu bac mi ni mmoja wao.
 
Sasa akipotezeeje kifo mwenzio?
Una mauanja yoyote ya kukipotezea kifo unipe n mimi, maana kama kuna mtu anaiogopa hiyo kitu bac mi ni mmoja waoa.?

Tu njia moja, yeye katangulia sisi tunafuata. Siku ikifika, imefika na uoga unakuja kwa kuwa hatujui tuendako. May God R.I.P. Wasimon.
 
........Pole yake mjane na watoto waliobaki. Mungu ampumzishe kwa amani Wasaimon.
Maisha ya mwanadamu kwa kweli ni mafupi.
 
Mchaka Mchaka; Hakika tutaipokea kwa mikono miwili uwepo wako! Na hakika mengi tutaratibu pamoja!


 
Last edited by a moderator:
Rip wasaimon
mungu awape ujasiri wa kuvuka mda huu wa maombolezo mjane na watoto.
 
Thanx all you guys for your prayers.
God will comply with them.
Amina!
 

ntakaribia kaka, nashukuru sana.
 
hapana PJ, yaani wazo la kutafutana nilikuwa sina kabisa kabisa,na si unaona kulivyokuwa na nyomi?
Sure!
Mtaa wa Kijenge ulichafuka vilivyo. Kijana alikuwa mfano wa kuigwa. Hatimaye niliwaona akina Tony bana!...was totally depressed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…