kwamba hata sisi watoto wa shamba tulikuwa tunawajua? Acha utani mdogo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya ndugu zangu waliokuwa mjini wao pia hawakuwa na kideo yaani tabu kweliAaah jaman ina maana mujini ulikuja mwaka gani mamie. Nilianza waangalia kwa jirani na ugenini kila nikienda sehemu ugenini kuna video raha mustarehe.
Haya marehemu kaigiza pia toleo la juzi juzi la bongo movie inaitwa KANTANGAZE
Enzi za mwinyi redio hatukuwa nayo pia nimeanza kumsikia nkapaSasa je usinambie enzi hizo ulikua unamfahamu mwinyi pekee kisa unamsikia kwenye redio kua ni rais.
Haha mi muhengaDuh kama mhenga vile ila wala hujanishawishi maana nahisi mie na wewe wote wa ndani ya 80.
Hapana alikua grup la mambo hayo. Grup la akina bishanga,aisha,waridi
Daah masikini! Juzi nimemuona kwenye star swahili na muvi inaitwa king'amuzi kama somo yake na Riyama. RIP MAMAMsanii wa filamu nchini Salome Nonge maarufu kwa jina la ‘Mama Abdul’ amefariki dunia mchana wa leo - #RIP MAMA ABDULView attachment 1004705View attachment 1004706
Ayaaaaa sema unatania,haukuwahi ona maigizo ya akina seki,bishanga enzi hizo?
Maisha Magic Bongo anaoneka na muda si mrefu ilikuwepoKama sio muhenga mwandamizi ni ngumu kumfahamu...! R.i.p Mama Abdul (Mwantumu mcharuko)
Unaweza kunihamasisha niwe naangalia bongo movie?