Albert Alinanuswe
Senior Member
- Oct 2, 2017
- 196
- 274
Taarifa ndio hiyo, Sister V aliyekuwa mtangazaji wa Radio Uhuru, mtoto wa Kiongizi Mkongwe hapa nchini Chrisant Majiyatanga Mzindakaya, amefariki. Tulikuwa nae Taifa juzi kwenye mechi ya Yanga na Simba na leo, ndugu yake Ben Mwanantala, amethibitisha kifo cake.